Dada wa Kisomali Ilham Omar ampasha Trump "Hapa ni kwetu "

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,148
10,851
Ugomvi wa seneta wa Minnesota Ilham Omar mwenye asili ya kisomali na raisi Trump hauishi. Juu ya kwamba huyu dada ni mwanamke lakini tabia ya kidomodomo cha Trump ndiyo inayoendeleza ugomvi huo wa kisiasa nchini Marekani.

Juzi moja katika kampeni za uchaguzi raisi Donald Trump alifika kwenye jimbo linalowakilishwa na ilhamu Omar na ambalo lina wakazi wengi wenye asili ya Somalia.Katika kampeni zake raisi Trump alimponda Ilham Omar kwamba asiwafundishe wamarekani namna ya kuendesha nchi yao na kwamba yeye alifanya nini kule alikotokea.

Katika kujibu Ilham alisema yeye ni Mmarekani na aliingia Marekani akiwa na miaka 8 kwa hivyo popote alipokuwa asingeweza kufanya jambo, lakini yeye Trump kinyume chake sasa anaonekana kuiongoza nchi hiyo kama mtoto mwenye umri huo.
 
Kwanza kabisa nikusahishw

Ilhan omar sio seneta, ni mwakilishi

Kwa haraka haraka naona umetoa habari hii kwenye media zinazomchukia trump baba lao ambazo nyingi hutunga habari feki kama hapo walipokwambia ilhan ni seneta badala ya mwakilishi.

Ilhan ana matatizo ya akili, Tukio la kigaidi la 9/11 yeye alilitukuza na kuwasifia al qaeda huku akiwabeza wamarekani, kwa sasa yupo na kampeni yake ya kutokomeza polisi ambayo haina nguvu na haitawezakana, Kiufupi kashazoea mikiki mikiki ya vurugu kule kwao somalia kwahio anataka kugeuza jimbo analowakilisha liwe kama somalia.

Mwaka huu nadhani ndio utakuwa mwisho wake kuwakilisha jimbo la minnesota, mpinzani wake mpya ambaye pia ni mweusi kama yeye ila ana akili anamkosesha raha huyu mtoto wa kisomali asie na shukwmrani
 
Huyo Ilham Omar ndio kama Fatma Karume na yule shosti yake mwingine wanajiita "mashangazi". Watu wa sampli hizi sio wa kufanya nao ligi, watakuvua nguo.
 
Inaonekana wewe ndiye mwenye kufuatilia mitandao yenye chuki na waislamu na watu weusi. Huyu msichana ni shujaa sana na ndio maana watu wanampenda.Si kweli kwamba alisifia tukio la septemba 11 na kuwasifia alqaeda. Huenda wewe mwenyewe hujafuatilia vyanzo madhubuti vinavyotilia shaka kwa ushahidi tukio zima la septemba 11 na kwamba alqaeda ni kundi la Marekani pamoja na kwamba baadhi ya wahusika ni waislamu wajinga wajinga au waliotumbukizwa bila kujijua pia wapo ambao mitandao ya kiyahudi wamewapa sifa mbaya ili kuendeleza vita dhidi ya uislamu.
Ilham Omar ambaye ni Mmarekani safi kwa kulipenda taifa lake amekuwa akijaribu kurudisha heshima ya nchi hiyo na kupinga mambo ya uzushi yanayodhuru wamarekani na watu wengine duniani.Hapo ndipo mtu kama wewe usipomuelewa lakini watu makini wanamfahamu na kumpenda.
 
Unaona akili zenu,kwa hiyo kwa sababu ni muislamu na mweusi basi asikosolewe?.Hizi victim mentality mtaziacha lini?.
Kinachozungmzwa hapo sio suala la dini yake maana ana support ushoga na utoaji mimba kitu ambacho hata uislamu wake hauruhusu hata kidogo,Weka dini pembeni.
1.Kusema police ni kama cancer kwa marekani ni sawa?.Police sio wote ni wazuri,vile vile sio wote ni wabaya,ila kuseme defund the police eti kwa sababu kuna police mmoja ameua mtu mweusi its sounds childish na hakuna mwenye akili atakuelewa.Hivi kuna mji marekani unaweza ku survive bila police??.
2.Kusema some people did something kwenye tukio la 9/11,thats total dis respect kwa nchi na innocent souls zilizopotea,hata kama hakubaliani na tukio la 9/11 ila angeonyesha heshima kwa waliofariki.
 
Asante kwa kunisaidia kumu elimisha huyu raia, yaonekana yupo brainwashed sana kwamba mtu akiwa muislam mweusi asikosolewe, Ilhana ana matatizo sana yule dada, Yeye pamoja na kina aoc wanaifubaza democrats ionekane mbaya
 
Huyo Ilham Omar ndio kama Fatma Karume na yule shosti yake mwingine wanajiita "mashangazi". Watu wa sampli hizi sio wa kufanya nao ligi, watakuvua nguo.
Tatizo lilipo ni kwamba kashafubazwa mno na trump kiasi kwamba trump hana habari na huyu, Fatma karume ni mtetezi ila huyu ilhan omar hakuna kitu hapo no mchochezi tu ambae jimbo lake kwa sasa limegeuka uwanja wa vita kama kwao somalia
 
Wabongo tupo bize kujadiliana juu ya aliye sahihi kati ya wamarekani wawili.
 
Morgan Stanley wametabiri Trump atashinda..

Marekani Marais wanne Tu ndo wameshindwa kumaliza kipindi cha pili if I am correct
 
Huyo Ilham Omar ndio kama Fatma Karume na yule shosti yake mwingine wanajiita "mashangazi". Watu wa sampli hizi sio wa kufanya nao ligi, watakuvua nguo.
Ila Fatma kalipaisha Sana Hilo neno "shangazi,"

Wenyewe wanaita shangazi power
Yaani Sasa ukiwa mwanamke kindakindaki unauvaa ushangazi
 
Kumbe jamaa ni myahudi nasikia anawafaidisha sana washikaji zake kwenye stock market na forex

Sio.myahudi
Ana asili ya ujerumani na Scotland..

Mkwe wake Jared Kushner ndo myahudi
Na ndo mshauri wake mkuu
 
Sio.myahudi
Ana asili ya ujerumani na Scotland..

Mkwe wake Jared Kushner ndo myahudi
Na ndo mshauri wake mkuu
Hata TRump mwenyewe ni myahudi.Lakini huyu Jared uyahudi wake uko wazi.Sasa waarabu wanapatwa na nini kumsikiliza anapowafuata fuata wakati huo huo anashindwa kuwafuata watu wake wapunguze makali ya kuwakandamiza wapalestina angalau tu huo muda yeye anazunguka kwa wafalme na maraisi wa nchi za kiarabu.Waarabu wana akili gani wasioweza kuona jeuri hii na dharau wanayofanyiwa,
 
Wapi umetoa hiyo ya Trump kuwa myahudi?
Hebu weka link hapa tuone
 
Back
Top Bottom