Ushauri kwa rais Cyril Ramaphosa

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Jul 1, 2017
3,032
4,028
Kuwaua wageni nakunyang'anya mali zao sio utu.Hata Marekani imeendelezwa na wageni
Fanya hivi fanya kampeni ya kuchunguza wageni wanaoishi kinyume na sheria warudishe kwao hata nchini Tanzania tulishafanya hivyo tukafanikiwa
 
Wageni wako wangapi na serikali itawarudishaje? Itazuiaje wasirudi tena?
 
Kiranga mbona TZ tuliweza?
TZ haijui hata raia wake wanakunyaje na wanavyokunya majitaka na majisafi yanatenganishwaje.

Itakuwa kufukuza wageni?

Rafiki yangu wa zamani mmoja hapo Uhamiaji kauza pasi za Bongo kwa Wasomali kama njugu, halafu unasema habari za kufukuza wageni?

Acha mbwembwe wewe.
 
duuuuh:oops::oops:
 
Back
Top Bottom