Wapiganaji wenye silaha wamewaachilia huru wafungwa wasiopungua 900 kutoka jela mjini Beni, mashariki mwa Congo, katika shambulio la kupanga mapema Jumanne, ambalo meya wa mji huo amelilaumu kwa...
Argentina inakuwa nchi ya tano duniani kurekodi visa zaidi ya Milioni 1 baada ya maambukizi mapya 12,982 kurekodiwa ndani ya saa 24 zilizopita na kupelekea idadi kufikia 1.002,662
Kwa mujibu wa...
Kwakile kinachoonekana ni maagizo ya China kwa USA toka wizara ya mambo ya nje ya China
Wizara hiyo imesema kuwa.
"Tunataka marekani iache kuwasumbua wanafunzi wanaosoma marekani wakitoka China...
Samora Machel,the first presidenr of Mozambique after the country's independence,died on 19 october 1986,when a Soviet-crewed Tupolev 134A carrying his entourage bavk from a regional summit in...
Mamlaka za Lagos zimeagiza Shule kufungwa kufuatia maandamano yanayoendelea kupinga ukatili unaofanywa na Polisi
Kamishna wa Elimu katika Mji huo, Folasade Adefisayo amesema hakuna uhakika wa...
Noma sana!
Mr. Virtual signaling extraordinaire, Jeffrey Toobin, ambaye ni mwanasheria, mchambuzi wa masuala ya sheria CNN, na mwandishi wa gazeti la The New Yorker, wiki iliyopita akiwa kwenye...
Ukiacha mbali habari zilizopikwa na Cnn, Msnbc, abc,nbc, cbs, New york times,n.k Ama hizi Polls feki za kura zinazochakachuliwa.
Kiukweli Trump ana wafuasi aisee, Majuzi tu hapo kulikuwa Msafara...
Marekani inatekeleza hukumu ya kifo kwa mfungwa wa kike kwa mara ya kwanza katika kipindi cha karibu miaka 70, kulingana na Wizara ya Sheria.
Lisa Montgomery alimyonga mwanamke mjamzito huko...
Vikwavo vya kuuza na kununua silaha vya UN dhidi ya Iran vilivyo dumu kwa muongo mmoja vimemalizika hii leo. Hatua ya kufika tamati kwa vikwazo hivyo kutaiwezesha Iran kununua na kuuza silaha...
Omar al Bashir ameshitakiwa kwa mauji ya halaiki huko Dafour na kodfona kusini ambapo waarabu waliwau wakulima weusi maelfu.
Baada ya kushitakiwa ICC serikali ya mpito ya Sudan imekubali...
Jamhuri ya Uturuki, Türkiye Cummhuriyeti au Republic of Turkey
Uturuki ni taifa lenye mipaka baina ya Asia na bara Uropa, asilimia 97 ya taifa limelalia upande wa Asia huku 3 ikiwa Ulaya. Uturuki...
IMF Admits China Has Overtaken The US As The World’s Largest Economy; But Why Is The Media Silent?Published 17 hours ago on October 18, 2020By EurAsian Times Desk. The world is waking up to a new...
Licha ya kutangaza kutoongeza eneo la hali ya hatari, Waziri Mkuu wa Thailand ameitisha kikao maalum cha bunge katika wakati ambapo maandamano ya kumshinikiza kujiuzulu na mageuzi ya mfumo wa...
Trump kupitia twitter amesambaza video yenye ujumbe huo ambayo imepingwa sana na watu.
Wewe unaonaje?
===
Trump-supporting Navy SEAL fumes after the president pushes fake news about Osama bin...
jeshi la marekani kitengo cha maji(us navy seal)limeanzisha operesheni maalamu kusini mwa china na meli yao ya kivita na yenye teknolojia ya hali ya juu(uss carl vinsion).
lengo la doria hii ni lipi?
Rais Donald Trump akiwa kwenye mkutano wa kisiasa amesema Biden ndio mgombea mbovu kuwahi kutokea kwenye siasa za Marekani toka taifa la Marekani lilipoundwa.
Trump anasema ikitokea akashindwa...
Wiki moja tu tangu Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kusema uislamu ni janga la dunia mambo yamemgeukia.
Muda aliotamka maneno hayo ulinasibiana na kuachiwa huru kwa mateka muhimu na raia wa...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo - FAO, limejulisha kwamba watu karibu milioni 22 wanakabiliwa na ukosefu wa chakula katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Leo ni Siku ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.