Jeffrey Toobin abambwa kwenye Zoom call akijihudumia

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,242
113,618
57FF6585-298C-4F0C-B4B5-328F36D8BE7A.jpeg

Noma sana!

Mr. Virtual signaling extraordinaire, Jeffrey Toobin, ambaye ni mwanasheria, mchambuzi wa masuala ya sheria CNN, na mwandishi wa gazeti la The New Yorker, wiki iliyopita akiwa kwenye Zoom call na wenzake wa gazeti hilo la New Yorker, akidhani kwamba hayupo tena kwenye hiyo Zoom call, akatoa mali yake na kuanza kujihudumia [kupiga punyeto].

Bila kujua, yeye alikuwa bado yupo kwenye hiyo call na wenzake wakamwona akijichua!

Noma sana.

CNN mum amid claims Jeffrey Toobin masturbated on Zoom call with colleagues
 
Unamtazama mtu na unafikiri ni stable mentally hadi unaposikia jambo kama hili
Unabaki mdomo wazi
 
Unamtazama mtu na unafikiri ni stable mentally hadi unaposikia jambo kama hili
Unabaki mdomo wazi
Ushawahi kumwona akiwa CNN ana commentate?

Alivyokuwa anamnanga Trump ungedhani yeye ni malaika!

Kumbe wapi!

Keshawahi hadi kufunguliwa kesi ya child support.

Pia, keshawahi kumdunga mimba binti wa mfanyakazi mwenzie halafu akataka huyo binti akatoe mimba.
 
Naona asipoangalia ndo basi tena.
Hatumuoni Kwa TV mda mrefu
 
View attachment 1606216

Noma sana!

Mr. Virtual signaling extraordinaire, Jeffrey Toobin, ambaye ni mwanasheria, mchambuzi wa masuala ya sheria CNN, na mwandishi wa gazeti ka The New Yorker, wiki iliyopita akiwa kwenye Zoom call na wenzake wa gazeti hilo la New Yorker, akidhani kwamba hayupo tena kwenye hiyo Zoom call, akatoa mali yake na kuanza kujihudumia [kupiga punyeto].

Bila kujua, yeye alikuwa bado yupo kwenye hiyo call na wenzake wakamwona akijichua!

Noma sana.

CNN mum amid claims Jeffrey Toobin masturbated on Zoom call with colleagues
Mademu wamekuja kuwa tatizo dunia hii ,madem wengi ila wanaume tupo single
 
Asilimia kubwa ya binadamu wana mambo /tabia za siri yakiwekwa wazi lazima wapate fedheha, ila la ku masturbate ni moja ya tabia za watu wengi sana, simlaumu...ikibidi unajilipua tuu
 
Asilimia kubwa ya binadamu wana mambo /tabia za siri yakiwekwa wazi lazima wapate fedheha, ila la ku masturbate ni moja ya tabia za watu wengi sana, simlaumu...ikibidi unajilipua tuu
Ni kweli.
 
Aisee kama ni hivyo uyo mkulu kibarua chake na CNN naona kitaota nyasi..ni mambo yanayofanywa na wengi unaweza kuta ata kiongozi wa nchi naye anafanya ila sasa yakiwa hadharani mweeee n aibu tupuuuuuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom