Kwanini jeshi la marekani limeanza doria kusini mwa bahari ya china?

Feb 18, 2017
83
91
jeshi la marekani kitengo cha maji(us navy seal)limeanzisha operesheni maalamu kusini mwa china na meli yao ya kivita na yenye teknolojia ya hali ya juu(uss carl vinsion).
lengo la doria hii ni lipi?
8e09ad204111416ca59532126724d6cc.jpg
 
Lengo ni kumtisha china na kuwapa imani washirika wake kua anawajali kwa hali na mali
 
China kamwe hawezi kuacha eneo hilo la bahari liwe huru au liwe chini ya taifa jingine....hasa Marekani......kwa hivyo tutegemee mahusiano mabaya ya diplomasia baina ya China na Marekani katika kipindi cha uongozi wa Trump....
Lile ni eneo la kimkakati kwa china
 
wakilipuana itakuwa fresh sana maana kuna watu wanataka kujifanya vidume zaidi ya mwenzake, wajifunze kutoka kwa Hitler labda wanaweza kupata busara
 
Back
Top Bottom