International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Baada ya takwimu za hivi karibuni kuonyesha Ubelgiji ina kiwango cha juu zaidi cha maambukizi Ulaya, imetangaza kurejesha lockdown ambapo maduka yasiyo na huduma muhimu yatafungwa kuanzia kuanzia...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Tetemeko la Ardhi lililotokea mchana wa Ijumaa ya tarehe 30 Octoba 2020 katika ukanda wa Bahari ya Aegean limeharibu miundombinu katika miji ya pwani. Watu katika Mji uliopo Magharibi mwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwakilishi Mkuu wa Muungano wa Umoja wa Mataifa (UN), Miguel Angel Moratinos, amehimiza kuheshimiana kwa dini zote na imani na kukuza utamaduni wa udugu na amani. Moratinos, katika taarifa yake...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kampuni hiyo kubwa ya mafuta nchini Marekani imesema itapunguza wafanyakazi kwa 15% kutokana na mlipuko wa Virusi vya Corona kuathiri uhitaji wa nishati hiyo Mapema mwezi huu, Exxon ilisema...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Watu wapatao 140 wamepoteza maisha baada ya meli iliyokuwa na wahamiaji wapatao 200 kuzama katika pwani ya nchi hiyo Katika taarifa yake, Ofisi ya Uhamiaji ya Kimataifa (IOM) imesema ajali hiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo majira ya asubuhi watu watatu wameuwawa nje ya kanisa huko ufaransa..kati yao mwanamke mmoja ameuwawa kwa kukatwa kichwa. Muuaji amekamatwa akiwa hai..Mayor na polisi wanasema alisikika akilia...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Malawi’s Re-Run Election is Lesson for African Opposition The overturning of the result in the fresh presidential contest sets a bold precedent for the continent, as a process built upon the...
0 Reactions
1 Replies
706 Views
Mchungaji Wavel Ramkalawan ameshinda kura katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika visiwa vya Shelisheli. Hii ni mara ya sita kwa Ramkalawan kugombea urais katika Visiwa hivyo vilivyo katika Bahari ya...
5 Reactions
22 Replies
5K Views
Huko China na kwengine duniani limezuka gonjwa lisilotibika kutokana na "mdudu" aka "kiti moto" aka "mbuzi katoliki" aka nguruwe. Nguruwe katika vitabu (vya imani zote kuu mbili za hapa kwetu)...
13 Reactions
188 Replies
42K Views
Mahakama ya Ufaransa imetoa hukumu ikumuunga mkono mmiliki wa jogoo mmoja baada ya kelele za alfajiri za kuku huyo kuwakera majirani zake. Maurice kutoka kisiwa cha Oleron katika pwani ya...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Waziri mkuu wa Ethiopia amesema nchi yake "haitakubali vitisho vya aina yoyote" baada ya Rais Donald Trump kusema kuwa Misri inaweza kuharibu bwawa lenye utata la Nile. Bwawa hilo kubwa...
2 Reactions
44 Replies
5K Views
Hakuna rais anaechezewa Rafu mbaya sana kama Trump, Ila cha kushangaza ni Kwamba Rais huyu huibuka kidedea na kuwaacha wengi midomo wazi ni vipi na kawezaje kuhimili mishale mingi kiasi hiki...
5 Reactions
14 Replies
3K Views
Kitabu: 85% ya makasisi wa Vatican ni mashoga Feb 16, 2019 15:12 UTC Kitabu kipya ambacho kinatazamiwa kuzinduliwa wiki ijayo kimefichua kuwa, asilimia 85 ya makasisi na mapadri katika Makao Makuu...
3 Reactions
30 Replies
5K Views
Mambo yanayotekea kwenye nchi kubwa na yenye wasomi wengi kama Nigeria usingetaraji kuyasikia kama nchi hiyo isingekuwa Afrika. Watu wamelalamikia tu kuuliwa na kuteswa na kikosi maalum...
1 Reactions
0 Replies
926 Views
Mon 28 Jan  SUBSCRIBE All News NEWS OPINION Israel: no country for black people OPINION / 24 JANUARY 2018, 07:56AM / AZAD ESSA       Israeli Prime Minister Benjamin...
0 Reactions
51 Replies
10K Views
1. Trump alifanikisha kuujenga uchumi wa US katika viwango vikubwa vya kihistoria zaidi ya watangulizi wake kabla ya kuja kuharibiwa na Covid-19, hivyo ni mtu sahihi machoni kwa wengi kuurekebisha...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Katika kipindi kinachokaribia miaka 10 tangu mwaka 2011 alipopinduliwa na kuuliwa kiongozi wa Libya wananchi wa nchi hiyo wameshuhudia vita vya wenyewe kwa wenyewe,kuuwana kusikokwisha na hatimae...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wanajukwaa pendwa, Naomba kuuliza wengi tunajua duniani kuna nchi zaidi ya mia tisini, je ni kigezo gani kilizingatiwa mpaka maamuzi makubwa kidunia kuamuliwa na G 7 pekee? Je, kama...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
US billionaire and software developer Bill Gates has warned that the coronavirus epidemic could overwhelm the health services of Africa and trigger a pandemic which may lead to 10 million deaths...
0 Reactions
85 Replies
7K Views
Back
Top Bottom