International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mgombea Urais wa Marekani amevunja rekodi iliyoshikiliwa na aliyekuwa Rais wa Marekani Barack Obama kwa kupata kura milioni 70. Rais Barack Obama alipata kura 69,498,516 zilizoweza kumuweka...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Warren alisema "hata kama tuna tofauti zetu, wengi wetu tunataka kitu hicho hicho. Kuwa na uwezo wa kufanya kazi kwa bidii na kuwahudumia watu tunaowapenda. Hicho ndicho ninachopigania na ndio...
3 Reactions
38 Replies
5K Views
Dobald Trump hajakubali kushindwa katika Uchaguzi uliomfanya Joe Biden kuwa mshindi Trump amelalamikia udhaifu mwingi uliojitokeza katika uchaguzi na udanganyifu kadhaa uliopora ushindi wake...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Nawasalimu wanabodi, Baada ya matokeo ya uchaguzi wa Marekani kutoka na Trump kuangukia pua, ningependa wajuzi wa mambo ya Diplomasia mnipe muongozo katika swali langu hapa chini:- Je, baada ya...
6 Reactions
71 Replies
5K Views
Matokeo ya Uchaguzi wa Marekani yamemtangaza Joe Bidden kuwa Rais wa Marekani baada ya kumshinda Donald Trump. Trump ameonekana kutoridhika na hali hiyo ametweet kuwa alishinda kwa kiasi kikubwa...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Mshindi wa Uchaguzi Mkuu wa Marekani, Joe Biden amewashukuru wamarekani kwa kumpa dhamana ya kuongoza taia hilo. Katika tweet yake amesema atawatumikia wote bila kujali kama walimpigia kura au...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama ndani ya miaka yake minne ( 4 ) tu kafanya 'Mapungufu' makubwa yafuatayo ya 'Kiutendaji' akiwa Ikulu ( WH ) kwanini arudishwe? 1. Kaharibu Sera ya Nje ya Marekani na Mataifa makubwa 2...
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Watu waliandamana, nisikiavyo Trump alikua ndani ya nyumba yake akichungulia dirishani. Baada ya kumuonyesha shit holes zao waliondoka. Ni baada ya kusema developing countries are shit hole...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Makamu rais wa zamani wa Marekani Joe Biden, ambaye anajulikana katika siasa za Washington kwa karibu nusu karne, ametajwa kwamba atakuwa rais na anatarajiwa kuapishwa Januari 20, na kuwa rais...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuelekea uchaguzi wa kwanza wa urais Marekani, uliofanyika Desemba 1788 hadi Januari 1789, mtindo wa kumchagua na kupata Rais, ulisababisha vichwa vya mababa waasisi wa taifa hilo viume...
20 Reactions
16 Replies
3K Views
Bwana Trump na timu yake ya kampeni wamekosea mahesabu na inaenda kuwagharimu vibaya sana. Matumaini ya kushinda ni chini ya 20%. Kwenye siasa propaganda na figisu huwa hazikosekani. Kama ambavyo...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Hellow JF Joe Biden Joe Biden ndiye mtu pekee anayeweza kumuondoa Donald Trump ambaye anawania miaka minne zaidi katika Ikulu ya White House. Makamu wa rais wa Barack Obama amechaguliwa...
3 Reactions
20 Replies
5K Views
Hellow JF Hali ikoje katika baadhi ya majimbo Marekani? Marekani ikiwa na majimbo 50, wagombea wakiwa wawili na mamilioni ya wapiga kura. Mpaka sasa majimbo 39 yamehesabiwa na Biden ana kura...
2 Reactions
120 Replies
14K Views
Mamlaka nchini Indonesia zimewahamisha mamia ya watu waliokuwa wakiishi karibu na mlima wenye hatari ya kulipuka kwa volcano baada ya dalili za mlipuko kuongezeka mapema wiki hii. Zaidi ya watu...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Rais wa Burkina Faso Roch Marc Chrstian Kabore, amezindua kampeni yake ya kugombea mhula mwingine madarakani, akiahidi kuimarisha usalama na amani nchini humo. Burkina Faso imekuwa ikikumbwa na...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Sudan imeamua kufunga mpaka wake na Ethiopia baada ya mvutano kati ya serikali ya shirikisho na utawala wa mkoa wa Tigray. Kulingana na shirika rasmi la habari la Sudan, Fethurrahman al-Emin...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Matokeo ya uchaguzi Marekani 2020:Uchaguzi ‘umechafuliwa’ na madai ya wizi wa kura Uchaguzi ‘umechafuliwa’ na madai ya wizi wa kura EPACopyright: EPA Ujumbe wa kimataifa umesema uchaguzi wa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Trump, rais wa 45 wa Marekani anajivunia rikodi ya kuimarisha uchumi na kupunguza kwa kiwango kikubwa ukosefu wa ajira lakini anakosolewa kwa jinsi alivyoshughulikia janga la virusi vya corona...
9 Reactions
203 Replies
20K Views
Rais Donald Trump Jumamosi alitangaza uteuzi wake wa Jaji Amy Coney Barrett wa shirikisho katika Mahakama ya Juu kujaza kiti cha marehemu Jaji Ruth Bader Ginsburg. Hoja ya kumchagua Barrett...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Mabibi na mabwana, elimu haina mwisho. Je, tuna cha kujifunza kutoka kwao waliotutangualia? Au ni yale yale ya ukichwa ngumu kama mawe kuwa tunajua kila kitu? Mema waliyonayo wamarekani leo...
9 Reactions
92 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…