Uchaguzi Mkuu Marekani Mshauri wa Kiroho wa Rais Donald Trump, Bi Paula White akiongoza maombi ya ushindi kwa Trump. Amesema chama pinzani cha Democrats ni kusanyiko la mashetani, na ameona...
Inaonekana kama kunaweza kutokea vurugu katika Uchaguzi wa Marekani kwa kuwa baadhi ya vyombo vya habari vya kimataifa vimekuwa vikiripoti ghasia kutokana na meneo ambayo matokeo yake bado...
Wanaharakati nchini Marekani wamefanya maandamano ya amani katika baadhi ya miji kudai kuhesabiwa kwa kila kura kufuatia kauli ya Trump kuwa kuna uwezekano wa kuwepo kwa wizi wa kura katika zoezi...
Unaweza kushinda kwa kura nyingi dhidi ya mpinzani wako lakini bado usiwe Raisi.Hivi ndivyo sheria ya chuo za wanazuoni wa Marekani inavyofanya kazi.
Katika mjadala huu neno Electoral college...
Hivi karibuni, filamu moja inayoonyesha maisha ya wahamiaji imefuatiliwa sana katika mtandao wa Netflix. Filamu hiyo inaonyesha safari ya wakimbizi kutoka Sudan ambao wako tayari kukabiliana na...
Rais wa Kosovo, Hashim Thaci amejiuzulu wadhifa huo hii leo ili kuweza kukabiliana na kesi ya uhalifu wa kivita inayomkabili. Yeye na wengine 9 wanatuhumiwa kusababisha vifo vya watu takriban 100...
Serikali ya Ethiopia imetangaza hali ya hatari katika jimbo la Kaskazini la Tigaray baada ya Waziri Mkuu wa taifa hilo, Abiy Ahmed kulaumu Serikali ya majimbo inayoongozwa na upinzani kushambulia...
Takriban visa vipya 103,000 vya maambukizi ya COVID-19 vimeripotiwa nchini #Marekani ndani ya saa 24, huku hekaheka za Uchaguzi zikidaiwa kuchangia ongezeko hilo
Hii ni rekodi kubwa tangu...
Mshauri wa kidini wa Rais wa Marekani Donald Trump, Paula White-Cain anasema "malaika wameshukishwa" kutoka Afrika na Marekani Kusini kumsaidia Trump kuibuka na ushindi.
Katika ibada ya maombi...
Ni dhahiri mambo yanavyoenda Trump itakuwa ngumu sana kurudi Ikulu.
Washington DC watu wamejaa mtaani ,je haya maandamano yakiendelea hadi wakati wa uchaguzi atabaki vipi madarakani.
Yeye kazi...
Rais wa Malawi ameagiza bodi ya mitihani ya kitaifa nchini humo kuvunjiliwa mbali baada ya mitihani ya kitaifa ya mwaka huu kuvuja na kusambaa kwa mitandao ya kijamii kabla ya watahiniwa kuifanya...
Mkuu wa ujumbe wa waangalizi wa kimataifa kwenye uchaguzi wa Marekani 'Michael Georg Link' amesema kwamba madai ya Rais Donald Trump hayana msingi, yanayosema kwamba kumefanyika udanganyifu katika...
Melinda Gates said she feared coronavirus in Africa would lead to dead being put out in street, as in Ecuador
08:05 | 20th April 2020 (GMT)
Disclosure: The Bill and Melinda Gates Foundation is one...
Wanaofanyia Kampeni Mgombea Urais wa Marekani, Donald Trump walifungua kesi kupinga matokea kwa jimbo la Georgia.
Wafuasi hao wa Republican walidai kuwa maboksi 53 ya kura yaliingizwa kwa...
Matukio yanayoendelea Marekani hivi sasa ni wazi kuna tatizo kubwa zaidi ya tunayoyashuhudia kwenye uchaguzi huo.
Rais wa sasa Donald Trump alishatoa msimamo wa kuyagomea matokeo ya uchaguzi...
Kumekuwa kuna maswali mengi, kwa nini Trump amepitwa kwa kura lakini kashinda Uraisi? Nataka nitolee maelezo ili tupate kujua kama ifuatavyo, japo maelezo yatakuwa mengi kidogo.
Rais wa Marekani...
Wakuu, heshima yenu, kadiri ambavyo tunazidi kusubiria matokeo ya uchaguzi wa aneyejiita baba wa Demokrasia Marekani, kwa manufaa yangu na wanajamvi wengine tafadhali tufahamishane kwa kirefu...
Marekani imejiondoa rasmi kutoka kwa mkataba wa Paris wa kupambana na athari za mabadiliko ya hali ya hewa.
Hatua hiyo inatimiza ahadi ya Rais Donald Trump ya kuiondoa Marekani ambayo ndio...
Rapper aliyechanganyikiwa kakubali kushindwa kwenye uchaguzi Marekani ambapo alikuwa anashindana kuchaguliwa kuwa Rais kupitia chama chake cha "birthday party" .
Jumla za kura alizopata 0.2%...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.