Marekani: Biden avunja rekodi ya Obama

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,879
Mgombea Urais wa Marekani amevunja rekodi iliyoshikiliwa na aliyekuwa Rais wa Marekani Barack Obama kwa kupata kura milioni 70.

Rais Barack Obama alipata kura 69,498,516 zilizoweza kumuweka madarakani mwaka 2008 kwa kuwa aliweza kuwa na 52.93% dhidi ya mpinzani wake.

Katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 Joe Biden amepata kura 69,512,303 ambayo ni 50.1% dhidi ya mpinzani wake, Donald Trump.
 

Attachments

  • 1604519245424.png
    1604519245424.png
    187 KB · Views: 1
  • 1604519245851.png
    1604519245851.png
    175.9 KB · Views: 1
Black Americans intend to overthrow Trump, Covid disease 9 has contributed to making Trump not president for a second term.
 
Jimbo la Nevada ndio litaamua kama Electoral college votes watampa Trump au Joe Biden. Wakimpa tu atatangazwa mshindi.
 
Idadi ya kura sio issue(maana idadi ya watu huongezeka over time na pia idadi ya kura hutegemea watu waliojitokeza kupiga kura) issue ni Percentage ya kura dhidi ya mpinzani wake na percentage ya kura kulinganisha na watu waliojitokeza kupiga kura.

Yote kwa yote, mshindi wa kiti cha urais wa USA hategemei wingi wa kura za ujumla bali ushindi wa kura katika majimbo ambao huzaa idadi ya wajumbe watakao kupa ushindi. Ni kura 270 tu za wajumbe wa majimbo zinatosha kuwa rais wa Marekani.

Mpaka sasa mwelekeo wa ushindi uko kwa Biden. Japokuwa bado ni mapema kusema nani atakuwa mshindi.
 
Yaani tunao uhuru mkubwa kujadili na kuchambua uchaguzi wa watu wengine tena kwa kutumia VPN (sisi tumerogwa). Aliyetuzimia mtandao tunamsifia na kumuita "chuma". Uchaguzi wetu umefanyiwa 'masturbation' hadharani na wengine wakatulia kimya (wanajiita nyutro) leo bizee na Marekani
Watanzania wamepelekwa kwa mpalange

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Nchi ikiwa na democracy inapendeza Sana. Yaani Raia ndo wanaamua Nani awe kiongozi wao.
 
Back
Top Bottom