Elizabeth Warren atangaza nia ya Urais Marekani

Juuchini

JF-Expert Member
Dec 10, 2018
1,300
1,658
Warren alisema "hata kama tuna tofauti zetu, wengi wetu tunataka kitu hicho hicho. Kuwa na uwezo wa kufanya kazi kwa bidii na kuwahudumia watu tunaowapenda. Hicho ndicho ninachopigania na ndio maana leo ninazindua kamati ya uchunguzi kwa ajili ya kuwania urais”.

Seneta m-democrat Elizabeth Warren wa Marekani ameunda kamati ya uchunguzi kwa ajili ya kuwania urais mwaka 2020. Seneta huyo wa Massachusetts siku ya Jumatatu alikuwa mtu wa kwanza katika kile kilichobashiriwa kutangaza azma yake ya urais ifikapo 2019.

Warren mwenye miaka 69 alizungumza kwenye video iliyotumwa kwa wafuasi wake akisema “hata kama tuna tofauti zetu, wengi wetu tunataka kitu hicho hicho. Kuwa na uwezo wa kufanya kazi kwa bidii na kuwahudumia watu tunaowapenda. Hicho ndicho ninachopigania na ndio maana leo ninazindua kamati ya uchunguzi kwa ajili ya kuwania urais”.

Kamati hiyo inamuwezesha kuchangisha fedha na kujaza nafasi za wafanyakazi kabla ya kuanza rasmi kampeni zake za urais baadae mwaka huu wa 2019.

31D4DB0A-C15E-4081-AB95-6B849F45B064_w1080_h608_s.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo jina la "Massachusetts" sijui kwanini hua nalikubali kinoma.
 
Kadri siku zinavyoenda ndo nazidi kuhisi kuwa huenda Trump akawa one-term president, lakini si kwa nchi kuwa na uchumi mbaya.

La hasha. Ni kutokana na tabia yake hususan huko Twitter.

Leo/ jana kimsingi kamtukana Gen. Stanley McChrystal kwa kusema ana ‘big, dumb mouth’.

Now, I think such language is beneath presidential dignity.

At some point his jig is gonna be up. And that could very well be in the 2020 general election.

But, I always like to remind everyone that the rules of political gravity, thus far, haven’t applied to Trump.

So, only time will tell.
 
The name to watch in Democrats primaries is Beto O’Rourke and in my opinion his only competition is Joe Biden.
 
Kadri siku zinavyoenda ndo nazidi kuhisi kuwa huenda Trump akawa one-term president, lakini si kwa nchi kuwa na uchumi mbaya.

La hasha. Ni kutokana na tabia yake hususan huko Twitter.

Leo/ jana kimsingi kamtukana Gen. Stanley McChrystal kwa kusema ana ‘big, dumb mouth’.

Now, I think such language is beneath presidential dignity.

At some point his jig is gonna be up. And that could very well be in the 2020 general election.

But, I always like to remind everyone that the rules of political gravity, thus far, haven’t applied to Trump.

So, only time will tell.
Atakuwa kama bush

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom