International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Huku Jeshi likiendelea na mashambulizi katika Jimbo la Tigray, Waziri Mkuu, Abiy Ahmed amewafuta kazi Mkuu wa Jeshi, Mkuu wa Shirika la Ujasusi na Waziri wa Mambo ya Nje. Watu wa Kabila hilo...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama kawaida yake, Trump huwa hajali! Hata wakati Marekani inahangaika kukimbizana na Corona, mwamba alikuwa bize na gofu! Na leo tena, Biden anatangazwa mshindi, yeye yupo bize na gofu. Nadhani...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimejaribu kumsikiliza Rais Museveni wa Uganda wakati wa kuapishwa kwa Rais Dr Magufuli ili kuelewa anasema nini hasa. Nakubaliana nae juu ya mambo manne aliyoyasema- liberation, prosperity...
1 Reactions
2 Replies
873 Views
Mabibi na mabwana huu ndiyo ukweli wenyewe: Donald Trump mgombea aliye madarakani huko Marekani kama angekuwa hapa Afrika (hasa Afrika mashariki), tayari angesha tangazwa kuwa ni ushindi, tena...
9 Reactions
12 Replies
1K Views
Imebaki wiki tatu lakini naamini Biden keshashinda na Trump keshashindwa. Nimeangalia factors tofauti 1. Pesa -- siku zote mgombea anaeweza changisha hela nyingi anashinda. Biden kamzidi Trump...
21 Reactions
316 Replies
28K Views
Malawi imefikia uamuzi wa kufungua ubalozi nchini Israeli katika Mji wa Yerusalemu na kuwa nchi ya kwanza ya Afrika kuwa na ubalozi mjini humo. Waziri wa Mambo ya Nje wa Malawi, Eisenower Mkaka...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Nukuu zangu:- "(Homosexuals have a right to be a part of the family. They’re children of God and have a right to a family. Nobody should be thrown out, or be made miserable because of it.” While...
6 Reactions
87 Replies
8K Views
Polisi katika mji mkuu wa jimbo la Georgia, Tbilisi, wamewafurumusha makundi ya watu waliokuwa wakiandamana kupinga matokeo ya wabunge katika uchaguzi wa juma lililopita. Maelfu ya watu...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Rais mteule wa Marekani Joe Biden ameashiria kwamba ananuia kuiunda serikali yake kwa haraka akilenga kupambana na janga la virusi vya corona ambalo yumkini litakuwa juu kwenye orodha ya mambo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Shirika moja la kimataifa limesema ushindi wa Donald Trump unachukuliwa kuwa miongoni mwa hatari 10 kuu zaidi zinazokabili dunia. Shirika hilo la Economist Intelligence Unit linaonya kuwa iwapo...
2 Reactions
76 Replies
9K Views
Maambukizi mapya kwa siku nchini humo yameongezeka kutoka wastani wa 25 hadi 130 katika siku 14 zilizopita na kupelekea hofu ya wimbi la pili ya mlipuko huo Rais Nana Akufo-Addo amesema Serikali...
1 Reactions
1 Replies
826 Views
Shirika la Amnesty International limetoa wito kwa Mamlaka kuacha kutumia Sheria nyingi zilizopitwa na wakati ili kukandamiza uhuru wa kujieleza kupitia mitandao Takriban Wanablogu, Wasimamizi wa...
0 Reactions
0 Replies
931 Views
SEPAH: Tutafanya juu chini kuwasaidia Wapalestina Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran SEPAH sanjari na kulaani mauaji ya Wapalestina 17 waliokuwa wakiandamana kwa amani Ijumaa ya...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Kwa viongozi wa ovyo kama hawa wetu wa Afrika, Marekani bado ilitakiwa iwe na Rais kama Trump ili tushikishwe adabu hata kwa kusemwa tu. Yale mambo ya marais wa Afrika kwenda kupiga selfie...
8 Reactions
47 Replies
5K Views
This is strange. So strange. The POTUS has gone AWOL while his country is imploding. The [peaceful] demonstrations and the riots are showing no signs of letting up, 6 days in now. I am no...
13 Reactions
122 Replies
11K Views
Kwa kweli Huyu Trump tokea aingie madarakani amekuwa tishio kwenye mradi unafadhiliwa na Marekani katika Taasisi ninayofanyia kazi kwa Sasa, na Mara kadhaa ametishia kusitisha mradi huo ingawa...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Watching CNN's announcement of their calling of the US presidential race and conversations proceeding it, I heard something that Van Jones said that resonates with me personally, and that in my...
1 Reactions
3 Replies
801 Views
Ushindi wake unakuja baada ya kushinda kwa kishindo jimbo la Pennsylvania. Anakuwa Rais wa kwanza kuingia Madarakani akiwa na umri mkubwa (miaka 78). Pia, Marekani imepata Makamu wa Rais wa...
34 Reactions
224 Replies
19K Views
Aliyewahi kuwa Rais wa Marekani, Barack Obama amempongeza Joe Biden kwa kushinda Urais mwaka huu dhidi ya mpinzani wake Donald Trump Katika taarifa yake amesema kwa mara ya kwanza mwaka huu...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Baada ya pressure toka kwa DT hatimae maafisa wa uchaguzi wa jimbo la Georgia wamekubali kuruduia kuhesabu kura zote zilizopigwa kwenye jimbo hilo. Source: BBc Swahili
4 Reactions
45 Replies
5K Views
Back
Top Bottom