Rais wa Marekani, Donald Trump amteua Amy Coney Barrett kuwa mkuu wa Mahakama Kuu ya Merikani

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,721
Rais Donald Trump Jumamosi alitangaza uteuzi wake wa Jaji Amy Coney Barrett wa shirikisho katika Mahakama ya Juu kujaza kiti cha marehemu Jaji Ruth Bader Ginsburg.

Hoja ya kumchagua Barrett inaweka ahadi gani ya kuwa vita kali ya uthibitisho chini ya miezi miwili kabla ya Siku ya Uchaguzi - kupinduka bila kutarajiwa katika msimu wa uchaguzi tayari umejaa ugonjwa wa coronavirus na majaribio ya rais kudhoofisha imani kwa matokeo.

Pia inaahidi kuongeza usawa wa kiitikadi ambao umeashiria korti kwa miongo kadhaa, ikidhibitisha idadi kubwa ya kihafidhina iwapo mteule wa Trump ataketi.
IMG_0185.jpg
 
Uchaguzi wa mwaka huu Marekani utakuwa, IMHO, unprecedented: na matokeo yanaweza kuamuliwa na SCOTUS.
 
Yeah,ndio maana Trump haraka ameamua ku fill the seat. Endapo akipitishwa na senate,basi number itasomeka 5 conservatives,4 Liberals kwenye SCOTUS.
 
Uchaguzi wa mwaka huu Marekani utakuwa, IMHO, unprecedented: na matokeo yanaweza kuamuliwa na SCOTUS.
Trump ameshaona kila dalili kuwa anashindwa uchaguzi huu, watu wengi wana hasira naye sana, anajaribu kudhoofisha mfumo wa kura ili kupunguza kura kupitia POSTAL Services Lengo lake apinge matokeo ya uchaguzi, na mara kadhaa ameulizwa iwapo ataachia ngazi kwa Amani lakini amekataa kujibu hoja, Lengo apinge matokeo ya uchaguzi kwenye Supreme Court, ndiyo lengo lake la kujaza haraka haraka nafasi ya SCOTUS,Tutegemee machafuko zaidi Marekani, na Kama Marekani itachafuka Dunia yote itachafuka.
 
Mail in ballot ni hatari sana kwa usalama wa kura,kuna baadhi ya states wamefanya simulation na ime prove failure sana.Covid-19 ipo tu na haijulikani itaisha lini.Kama watu wanaweza kuandamana kwa maelfu kwa nini wasiweze kupanga foleni kupiga kura with social distancing??..
 
Mail Ballot imekuwa Marekani kwa Miaka mingi, leo hii ni kwa nini hatari na imeprove failure kwa Rais Trump tu?
Yeye mwenyewe Trump mara ngapi ameshapiga kura kwa Mail ballot?
 
Kicha cha habari hakiko sawa. ACB anajaza nafasi ya jaji mmojawapo aliyefariki RBG. Mkuu was Mahakama hiyo Jaji Roberts!
 
Trump ameshaona kila dalili kuwa anashindwa uchaguzi huu, watu wengi wana hasira naye sana, anajaribu kudhoofisha mfumo wa kura ili kupunguza kura kupitia POSTAL Services Lengo lake apinge matokeo ya uchaguzi, na mara kadhaa ameulizwa iwapo ataachia ngazi kwa Amani lakini amekataa kujibu hoja, Lengo apinge matokeo ya uchaguzi kwenye Supreme Court, ndiyo lengo lake la kujaza haraka haraka nafasi ya SCOTUS,Tutegemee machafuko zaidi Marekani, na Kama Marekani itachafuka Dunia yote itachafuka.
Sasa ulitaka ibaki wazi mpaka lini?!
 
Dunia yote ichafuke kwann ? Haiwezekan ,,ondoa mawazo hayo mkuu,,otherwise comment ako imetulia sana
 
Back
Top Bottom