Tuujadili ushindi wa Biden kuelekea Makubaliano ya Iran na Korea ya kaskazini

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,990
17,877
Wakuu,

Tuujadili ushindi wa Biden kuelekea makubaliano ya Nyuklia ya Iran.

Kama tunakumbuka Trump aliiondoa Marekani kwenye makubaliano ya Nyuklia ya Iran na kurudisha vikwanzo vikali dhidi ya Tehran japo mpaka sasa iran inaonekana bado ipo ngangari.

Sasa Democratic tunavyojua ni waungaji wakubwa wa makubaliano ya nyuklia ya Iran tofauti na Republican.

Sasa mjadala jee Biden atarudi kwenye ule mkataba wa makubaliano ya Iran?

Na je, masuala ya Mashariki ya Kati?

Vipi kuhusu Korea ya Kaskazini?
 
Kwasasa Iran inanafas nzur San kupitia huyu JB, kwanza Hakuna namna marekan itarud kwenye makubaliano ya nyuklia, lakin tujue kua kutakua namtafaruku kati ya marekan, israil, Saudia, UAE, kwasababu hizi nchi zilikula mema yanchi kupitia trump, faida ya Iran nikwamba akisharudishwa kwenye makubaliano hata fanya kosa yaan atachangamkia hii fursa kuuza mafuta kwawingi nje nakukusanya dola zakutosha, pia ukumbuke Iran amefunguliwa kuuza nakununua silaha na UN, kwamtazamo Wang Iran mpaka Sasa nimshid wahivi vita na marekan na tutaona marekan akionyesha unyonge mkubwa San kupitia kwautawala wa JB,
 
Katika vitu hujui always Dems government inafanya maajabu makubwa.

Iran hizo silaha anazonunua ni za wapi zaidi ya kutoka kwa Mrusi?
US, UK, Bulgaria na creators wakubwa wote wa silaha hawawezi kumuuzia.
 
Sera za Marekani kwenye siasa za kimataifa huwa haibadiliki kufuatana na mtawala aliyepo madaraka, kinachobadilika ni namna ya utekelezaji wake.
 
Katika vitu hujui always Dems government inafanya maajabu makubwa.

Iran hizo silaha anazonunua ni za wapi zaidi ya kutoka kwa Mrusi?
US, UK, Bulgaria na creators wakubwa wote wa silaha hawawezi kumuuzia.
Utakua hujanielewa bro, nafas nzur ninayoizungumzia hapa, haya makubaliano aliyoyavunja trump yaliwekwa na Obama na JB naalifanya hivo ili kuondoka kila alama aliyoweka Obama na JB akiwa nakam wake ikiwemo Obama cere, Sasa baiden Hana namn Zaid yakurudi kwenye huo mkataba, kuhusu kununua silaha Iran hawez nunua marekan Maan Iran yupo vizur San kwenye silaha naanapewa tecnolog kwasir na mchina namrus namkorea kaskazin kias ambacho kwasasa imekula nivigum San marekan nawashirika wake kumzibit

Hebu tizama Iran mbal namuizrael anauadui mkubwa namsaudi pamoja na UAE na marekan amewauzia silaha zakila namna lakin mpaka Leo hawajafua daf kwairan, kwamfano angalia sirya, angalia Yemen angalia lubnan yakina HIZBULLAH Iran nichuma kilichotulia hakitikisiki na marekan a najua hili fika kwamba Iran nimoto wakuotea mbali, marekan hajui Iran inann Maan kila akipeleka combo chakipelelez kinadunguliwa bila kujalisha kimetengenezwa Kwa tecnolojia latest kabisa kikipelekwa kinapigwa chin, nafkir sitakutajia unajua mwenyewe ttena chamwisho kabisa ni Ile ndege iliyodunguliwa ikitokea UAE,

ubabe wake haukuishia hapo ameingia mpaka kwenye meli ya uingereza baada ya kujua kua uingereza imemsaidia marekan kuteka meli yake ya gres, nasio hayo2 ameishambulia kambi kubwa kabisa yamarekan ya ainul Asad nammarekan hakujibu, ninchi Gan ya mashariki yakat I naweza fanya hayo yote marekan aiache? Kwann trump aweke vikwazo vikali ambavo haijawai kuwekwa kwairan tang marekan ianze halaf asimpige? Kwann?

Iran aliwapa dron zakisasa kabisa wahauth wayemen wakapiga vinu vya mafuta vya Saudia tabia kwann Saudia hajajibu? Nawakat marekan aliwapa silaha zakisasa kabisa za matirilion ya dola? Kwann Saudia ishindwe na kakikundi kama hauthi mpaka madege ya uingereza marekan israil waipige Yemen watakavo lakin bado hauthi wapo nawemejiongezea ardhi wakiwashinda Saudia UAE NAWASHIRIKA WAKE ISRAILI UINGEREZA NAMAREKAN? naomba uje kwahoja ukinijibu haya yote kwahoja nitarudi
 
  • Thanks
Reactions: RTI
Kwasasa Iran inanafas nzur San kupitia huyu JB, kwanza Hakuna namna marekan itarud kwenye makubaliano ya nyuklia, lakin tujue kua kutakua namtafaruku kati ya marekan, israil, Saudia, UAE, kwasababu hizi nchi zilikula mema yanchi kupitia trump, faida ya Iran nikwamba akisharudishwa kwenye makubaliano hata fanya kosa yaan atachangamkia hii fursa kuuza mafuta kwawingi nje nakukusanya dola zakutosha, pia ukumbuke Iran amefunguliwa kuuza nakununua silaha na UN, kwamtazamo Wang Iran mpaka Sasa nimshid wahivi vita na marekan na tutaona marekan akionyesha unyonge mkubwa San kupitia kwautawala wa JB,
😂😂😂 Iran walitamani Trump arudi madaraka, Republican ya Trump wanaamini kutatua matatizo kwenye meza ya mazungumzo, huyu Biden wa Democratic hapendi ujinga hawa ni kumwanga tu damu hao Iran watapo Leta ujinga watapigwa
 
Iran walitamani Trump arudi madaraka, Republican ya Trump wanaamini kutatua matatizo kwenye meza ya mazungumzo, huyu Biden wa Democratic hapendi ujinga hawa ni kumwanga tu damu hao Iran watapo Leta ujinga watapigwa
Kama hoja yako niyakwel Obama ametawala miaka 8 na Aiden akiwa makam wake warais kwann hawajaipiga Iran wakawekeana makubaliano 2015?nawakat Obama alipeleka via sirya nakwingineko kwann asiende Iran badala yake akaingia makubaliano nao,,
 
Utakua hujanielewa bro, nafas nzur ninayoizungumzia hapa, haya makubaliano aliyoyavunja trump yaliwekwa na Obama na JB naalifanya hivo ili kuondoka kila alama aliyoweka Obama na JB akiwa nakam wake ikiwemo Obama cere,
Hakuna hizo siasa Marekani, unahitaji kusoma sana ili uzijue, start with American civics!
Sasa baiden Hana namn Zaid yakurudi kwenye huo mkataba,
Umesema wewe au yeye?
Nitakupa mfano Joe alisema akishinda atairudisha PLO Washington na ataipa funds only fools will believe this.
kuhusu kununua silaha Iran hawez nunua marekan Maan Iran yupo vizur San kwenye silaha naanapewa tecnolog kwasir na mchina namrus namkorea kaskazin kias ambacho kwasasa imekula nivigum San marekan nawashirika wake kumzibit
Leta ushahidi wa haya uyasemayo.
Mchina humjui aisee.
Hebu tizama Iran mbal namuizrael anauadui mkubwa namsaudi pamoja na UAE na marekan amewauzia silaha zakila namna lakin mpaka Leo hawajafua daf kwairan,
Lengo la America kuziuzia hizo nchi silaha ni nini kama si America ipate fedha?
Na lengo la hao wanunuaji wa silaha ni kuiangamiza au kuivamia Iran au kufanya nini?
kwamfano angalia sirya, angalia Yemen angalia lubnan yakina HIZBULLAH Iran nichuma kilichotulia hakitikisiki na marekan a najua hili fika kwamba Iran nimoto wakuotea mbali,
Seriously? Have you ever been in middle east?
marekan hajui Iran inann
Umejuaje?
Maan kila akipeleka combo chakipelelez kinadunguliwa bila kujalisha kimetengenezwa Kwa tecnolojia latest kabisa kikipelekwa kinapigwa chin, nafkir sitakutajia unajua mwenyewe ttena chamwisho kabisa ni Ile ndege iliyodunguliwa ikitokea UAE,
Wewe taarifa za jeshi la marekani unazipata wapi?
Na operations zao zote unazijua?
ubabe wake haukuishia hapo ameingia mpaka kwenye meli ya uingereza baada ya kujua kua uingereza imemsaidia marekan kuteka meli yake ya gres, nasio hayo2 ameishambulia kambi kubwa kabisa yamarekan ya ainul Asad nammarekan hakujibu, ninchi Gan ya mashariki yakat I naweza fanya hayo yote marekan aiache?
So kwa kigezo hichi Iran is powerful than U.S?
Kwann trump aweke vikwazo vikali ambavo haijawai kuwekwa kwairan tang marekan ianze halaf asimpige? Kwann?

Iran aliwapa dron zakisasa kabisa wahauth wayemen wakapiga vinu vya mafuta vya Saudia tabia kwann Saudia hajajibu?
Una uthibitisho wa Iran kuwapa drone hao waasi wa kishia?
FM wao alikataa katakata
Nawakat marekan aliwapa silaha zakisasa kabisa za matirilion ya dola?
Kwa hiyo ukiwa na hifadhi kubwa ya chakula ikatokea jirani yako akakipiga teke basi nawe unapaswa ukapige teke chake?
Kwann Saudia ishindwe na kakikundi kama hauthi
Hao wa-houthi wameishindaje Saudia?
mpaka madege ya uingereza marekan israil waipige Yemen watakavo lakin bado hauthi wapo nawemejiongezea ardhi wakiwashinda Saudia UAE NAWASHIRIKA WAKE ISRAILI UINGEREZA NAMAREKAN? naomba uje kwahoja ukinijibu haya yote kwahoja nitarudi
Huna uhakika wa haya yote uyaandikayo.
 
Hakuna hizo siasa Marekani, unahitaji kusoma sana ili uzijue, start with American civics!

Umesema wewe au yeye?
Nitakupa mfano Joe alisema akishinda atairudisha PLO Washington na ataipa funds only fools will believe this.

Leta ushahidi wa haya uyasemayo.
Mchina humjui aisee.

Lengo la America kuziuzia hizo nchi silaha ni nini kama si America ipate fedha?
Na lengo la hao wanunuaji wa silaha ni kuiangamiza au kuivamia Iran au kufanya nini?

Seriously? Have you ever been in middle east?

Umejuaje?

Wewe taarifa za jeshi la marekani unazipata wapi?
Na operations zao zote unazijua?

So kwa kigezo hichi Iran is powerful than U.S?

Una uthibitisho wa Iran kuwapa drone hao waasi wa kishia?
FM wao alikataa katakata

Kwa hiyo ukiwa na hifadhi kubwa ya chakula ikatokea jirani yako akakipiga teke basi nawe unapaswa ukapige teke chake?

Hao wa-houthi wameishindaje Saudia?

Huna uhakika wa haya yote uyaandikayo.
Kabisa mkuu mbon iko waz San israil inawasaidia Saudia Yemen hata uingereza pia iko wazi wajuvi wamambo waje inafahamika kabisa
 
Kama hoja yako niyakwel Obama ametawala miaka 8 na Aiden akiwa makam wake warais kwann hawajaipiga Iran wakawekeana makubaliano 2015?nawakat Obama alipeleka via sirya nakwingineko kwann asiende Iran badala yake akaingia makubaliano nao,,
Wewe unadhani kila kitu alicho kuwa anakifanya Obama, Biden alikuwa anakubaliana navyo?

- Wakati Obama anaiyacha China anafanya biashara za kiulaghai na Marekani Biden alikuwa anakubaliana na Obama? Kwenye campaign za Biden uliskia anasema nini kuhusu China na Marekani?
 
Inawezekana nisije kuhusu Hilo lachina bro lakin ninachokifaham au wote tunawezakukubaliana nikwamba, Obama alikua karibu Zaid nabaiden nabado wako karibu mno sidhan kama anaweza kumgeuka ingawa sio vote ataendana na Obama lakin ishi ya huu mkataba na Iran ameshatamka Mara nyingi kwenye kampen kua ataurudisha huu mkataba
 
Back
Top Bottom