Dunia inajifunza nini Kwa haya yanayoendelea USA? Kama siyo mihimili au vyombo vya utawala vilivyo huru, huru ya kweli, Marekani ilikuwa inatumbukia kwenye udikiteita kama Tanzania, urusi, china, Rwanda, Uganda, Burundi etc.
Tabia alizozionyesha Trump na kesi 38 alizofungua kulalamika kura, na zote akashindwa, kama Mahakama zisingelikuwa huru, kama za hapa ambazo zinazoamrishwa na watawala, basi Trump angelikuwa anasubiri kuapishwa kipindi cha pili.
Africa, in particular, tujenge strong institutions na template tunayo kutoka USA.