International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Waafrika twendeni kwa wingi kuwasaidia ndugu zetu Russia dhidi ya Mabeberu. Ukrainian troops from the 63rd Mechanized Brigade captured a Ugandan man, Richard Akantoran, who said he was lured to...
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Kwa kifupi ukizungumzia urusi ile ya valdamir lenini na joseph starlin tofauti hii urusi inayongozwaa putin. Ukweli ni kwamba putin huyu jamaa ameidhoofisha sana urusi na washirika tofauti enzi...
3 Reactions
11 Replies
451 Views
Rais kaimu wa Venezuela, Delcy Rodríguez, amesema Jumapili kuwa “amechoshwa” na maagizo yanayotolewa na Washington, huku akiendelea na jitihada za kuunganisha taifa hilo kufuatia kukamatwa kwa...
0 Reactions
4 Replies
385 Views
Maeneo ambayo Marekani ilinunua katika historia yake ili kuunda nchi inayoonekana leo Donald Trump anataka Greenland iwe sehemu ya Marekani na hata amewahi kupendekeza uwezekano wa kuinunua...
0 Reactions
3 Replies
262 Views
Wakuu nani aniafuatilia hii issue ya UAPS ? au kama kawaida yenu ndugu zangu ni mwendo wa kubaki gizani tu:) Kwa wale mnaoamini eti UFOs hawafiki Africa, think again, proof hiyo hapo na nyingine...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Nawaambieni mtakufa na mtaiacha Jamhuri ya kiislam ya Iran ikiwa kileleni Chuki zenu dhidi ya Uislam na Jamhuri ya kiislam zipo wazi kabisa Kinachowauma ni kustawi na matunda ya Uislam na Iran...
3 Reactions
32 Replies
622 Views
Kwa mara ya kwanza Rwanda imekiri kuwa inashirikiana na kundi la waasi wa AFC/M23 katika vita vinavyoendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Balozi wa Rwanda nchini Marekani...
3 Reactions
6 Replies
455 Views
WOW. Mara tu mwili wa Ran Gvili ulipopatikana na ulipotambuliwa, wanajeshi wa Israeli walianza kuimba: "Ninaamini katika kuja kwa Masihi!" Sasa kazi tu imebaki ni kubonda magaidi wa Hamas na...
4 Reactions
4 Replies
248 Views
Marekani imejiondoa rasmi kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO), ikiwa ni mwaka mmoja baada ya Rais Donald Trump kutangaza kusitisha ushiriki wa nchi hiyo katika shirika hilo la afya lenye historia...
9 Reactions
54 Replies
1K Views
Wizari ya Uwekezaji, Biashara na Viwanda ya Kenya hivi karibuni ilitangaza kuwa, nchi hiyo na China zimefikia makubaliano ya awali ya biashara, ambapo China itasamehe ushuru wa asilimia 98.2 ya...
1 Reactions
2 Replies
280 Views
Mwamba wa dunia naambiwa yuko middleeast hukooo kumbukumbu zangu jamaa anapenda sana kudaka ama.kupiga wenzie Ijumaa Jmosi Jpili Ijumaa imepita jmosi ndio hii Yetu machoooo
2 Reactions
4 Replies
306 Views
🚨 WAZIRI MKUU NETANYAHU: aweka mstari mwekundu kwa Hamas na Iran. Akizungumza katika kikao cha bunge, Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alielezea msimamo wa Israeli kwa maneno yasiyopingika: •...
5 Reactions
75 Replies
1K Views
Julius Malema, kiongozi wa chama cha Economic Freedom Fighters (EFF) nchini Afrika Kusini, amehukumiwa kwa kosa la kukiuka Sheria ya Udhibiti wa Silaha (Firearms Control Act) mwaka 2018. Mahakama...
3 Reactions
20 Replies
670 Views
Wakati wa hotuba yake kwenye Mkutano wa Uchumi Duniani (WEF) 2026 huko Davos, Rais wa Marekani Donald Trump alimdhihaki Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kwa kuvaa miwani ikiwa siyo kawaida yake...
2 Reactions
10 Replies
673 Views
Makundi yenye silaha yamewateka nyara makumi ya watu waliokuwa wakihudhuria ibada katika makanisa mawili katika jimbo la Kaduna, Nigeria, kwa mujibu wa polisi wa eneo hilo. Kiongozi mmoja...
4 Reactions
8 Replies
369 Views
Mexico imemkabidhi Marekani washukiwa wengine 37 wanaodaiwa kuwa wanachama wa makundi ya uhalifu wa madawa y, waziri wa usalama wa nchi hiyo amesema, hatua inayokuja wakati Rais wa Marekani Donald...
2 Reactions
2 Replies
323 Views
Magaidi wa Hezboullah waliokuwa wanasifiwa na Adiosamigo gallow bird gTurn Iceberg9 na Bwana wao Ritz sasa hivi wanacharazwa viboko na wao hawawezi kurusha hata jiwe kuelekea Israel maana wanajua...
2 Reactions
9 Replies
376 Views
Ewe mwanaJF amka.. Nawaambieni mtakufa na mtaiacha Jamhuri ya kiislam ya Iran ikiwa kileleni Chuki zenu dhidi ya Uislam na Jamhuri ya kiislam zipo wazi kabisa Kinachowauma ni kustawi na matunda...
2 Reactions
16 Replies
335 Views
Video:Iran wana demokrasia kuzidi Ulaya cheki rais wa Nchi akiwa kwenye Debate Rais yupo kwenye debate na anabishana live na anapanda jukwaa mwenyewe hakuna cha mlinzi wala nini Hii ndo maana ya...
1 Reactions
2 Replies
188 Views
Back
Top Bottom