International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

White supremacy iko kwenye DNA yake Trump hata kama akijaribu kujificha here and there...
2 Reactions
5 Replies
280 Views
IDF Katikati kusimamisha Usalama wake Leo Ndege Tatu za Kivita za “Adir” (F-35i) zimetua Katika Kambi ya Jeshi la anga la Israel huko Nevatim Msemaji wa IDF alitangaza kwamba ndege tatu mpya za...
6 Reactions
13 Replies
492 Views
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu Aitisha Mkutano wa Usalama kuhusu Iran na Gaza Pamoja na Wakuu wa Ulinzi Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu aliitisha mkutano wa usalama wa faragha uliolenga Iran na...
2 Reactions
6 Replies
312 Views
Imenifundisha Herufi tatu is trap. Ila tukaweza kua na maifa nafuu ya huru na furaha zaidi.
2 Reactions
9 Replies
269 Views
Ina maana mifumo ya Urusi haizukiziona ndege za US zikija kumdaka Maduro?.. Ndege karibia 150 zitoke US hadi Venezuela kwa masaa 4 angani ya safari mifumo ya Urusi na China isizione Kichekesho...
26 Reactions
124 Replies
3K Views
Video hii inaonesha maafisa wa shirikisho wa Marekani (federal agents) wakimvuta mwanamke kutoka kwenye gari lake kwa nguvu huko Minneapolis, huku mwanamke huyo akipaza sauti akisema kuwa ni...
2 Reactions
22 Replies
579 Views
Mahakama ya Seoul leo Januari 16 imemhukumu Rais wa zamani wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol, kifungo cha miaka mitano jela kesi, kosa likiwa ni uamuzi wake wa kutangaza sheria ya kijeshi mwishoni...
3 Reactions
6 Replies
415 Views
We are ready to strike Israel again,' Iran’s president warns 1 hour ago Updated 8:53 AM Share A screengrab from Iranian President Masoud Pezeshkian during an interview with Al Jazeera (July 2025)...
3 Reactions
50 Replies
3K Views
Utawala wa Iran chini ya utawala wa jiislamu umewaua waandamaji zaidi ya 12,000 baada tu ya kuzima mitandao nchi nzima Hii inaonyesha ni jinsi gani utawala huo usivyo na huruma jwa watu wake...
2 Reactions
38 Replies
715 Views
Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, kwa mara ya kwanza ameweka wazi hadharani kuwa maelfu ya watu waliuawa wakati wa maandamano ya hivi karibuni nchini humo. Akizungumza katika hotuba...
1 Reactions
0 Replies
422 Views
Rais mbabe mbele ya Magaidi asiyecheka na wowote amesema ana mpango wa kuwasaidia Wakristo waliopo Nigeria kupambana na Magaidi. Tupate habari kamili.
2 Reactions
8 Replies
435 Views
Kundi lenye silaha katika jimbo la Kermanshah linatangaza kwamba "maasi ya silaha kote Iran yamefikia kilele chake, yako hapa sasa, na yataendelea kukua." Ni siri iliyo wazi kwamba makundi kama...
7 Reactions
28 Replies
722 Views
Trump ametishia tariff kwa mataifa yatakayofanya biashara la Iran. Sasa check pesa ya Iran Ilivokula msamba. 1USD = 998, 925 IRR Halafu kuna mshangazi unapayuka who are you!!
6 Reactions
53 Replies
1K Views
F-35 test pilots described how intense it is to fly the aircraft, The Jerusalem Post reported. "It's like an 800-pound gorilla sitting on your chest," a pilot said in a Lockheed Martin webinar...
7 Reactions
129 Replies
10K Views
Inachekesha sana Rais Trump. Kashindwa kuwapa haki wamarekani ambao wanafanya maandamano makubwa katika miji ya Marekani baada utawala wa Trump kuwakandamiza. Trump anasema anawalinda...
2 Reactions
31 Replies
512 Views
Wanaukumbi. ⭕️Huko Tehran, Wairani milioni 1.2 waliandamana kuiunga mkono serikali yao Kwa upande mwingine, maandamano makubwa zaidi ya kupinga serikali hayakuwahi kukua hadi zaidi ya makumi ya...
7 Reactions
86 Replies
999 Views
Wananchi wa Iran wanaingia wiki ya pili katika maandamano yao ya kutaka kuung'oa utawala wa kinabavu wa Ayatollah Ali Khamanei!!!
13 Reactions
174 Replies
6K Views
Asili yenu ni kifo na fujo. Asili yenu ni maafa na damu. Asili yenu ni kuhangamiza na uuaji.
5 Reactions
35 Replies
570 Views
Ustaarabu wa hali ya juu wa kijamii ulionekana nchini China pale ambapo wapita njia walisaidia kurejesha makasha yaliyomwagika baada ya ajali ya lori, badala ya kuyachukua au kuiba. Kilichotokea...
2 Reactions
11 Replies
319 Views
Back
Top Bottom