Ewe mwanaJF amka..
Nawaambieni mtakufa na mtaiacha Jamhuri ya kiislam ya Iran ikiwa kileleni
Chuki zenu dhidi ya Uislam na Jamhuri ya kiislam zipo wazi kabisa
Kinachowauma ni kustawi na matunda...
Video:Iran wana demokrasia kuzidi Ulaya cheki rais wa Nchi akiwa kwenye Debate
Rais yupo kwenye debate na anabishana live na anapanda jukwaa mwenyewe hakuna cha mlinzi wala nini
Hii ndo maana ya...
Mahakama ya Korea Kusini imemhukumu aliyekuwa Waziri Mkuu, Han Duck-soo, kifungo cha miaka 23 jela kwa makosa yaliyohusisha uasi wa kikatiba, yakihusiana na tamko la sheria ya kijeshi lililotolewa...
Mwaka 2024 Canada ikishinikizwa na Marekani iliweka ushuru wa 100% kwa magari ya umeme ya China kama ilivyofanya Marekani.
The table has turned, hivi karibuni Waziri Mkuu wa Canada Mark Carney...
Rais wa Marekani Donald Trump alitumia hotuba yake kwenye Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF) 2026 huko Davos, Uswisi, kueleza misimamo yake kuhusu usalama wa dunia, biashara, nishati na siasa za...
Ndege ya Rais Marekani Air Force One imelazimika kurudi kwenye Joint Base Andrews kutokana na “tatizo dogo la umeme,” kulingana na Afisa wa Ikulu ya White House.
Rais wa Marekani Donald Trump...
Mkuu wa Wafanyakazi Eyal Zamir: "Tuko tayari kushambulia kwa nguvu kubwa katika eneo lolote na dhidi ya adui yeyote anayetishia usalama wa Taifa la Israeli." Ameongez salamu hizi ziwafikie Hamas...
Ndege ya Rais Marekani Air Force One imelazimika kurudi kwenye Joint Base Andrews kutokana na “tatizo dogo la umeme,” kulingana na Afisa wa Ikulu ya White House.
Rais wa Marekani Donald Trump...
“Somalia is not even a country. They don't have anything that resembles a country.”
.
US President Donald Trump, speaking at the White House a year after his return to office, singled out what...
"Sijali kuhusu tuzo ya amani ya nobel peace prize, ni mwananmke tu mzuri aliyejali kwamba nastahili kupewa tuzo hiyo na nashukuru kwa hilo. Mtu yeyote anayefikiri Norway haina mamlaka juu ya tuzo...
Wanajeshi wa Ukraine wamejiondoa kutoka mji wa mashariki wa Siversk uliokumbwa na vita, huku Urusi ikiendelea kusonga mbele taratibu.
Jeshi la Ukraine lilisema Jumanne kwamba lilichukua hatua...
Tume ya Fidia ya Gambia imeanza kulipa fidia kwa waathirika wa ukiukwaji wa haki za binadamu uliotekelezwa chini ya utawala wa aliyekuwa dikteta wa nchi hiyo, Yahya Jammeh, kwa mujibu wa taarifa...
Imagine wabongo Maandamano yajayo tutoke kwa wingi hivi kumng'oa Samuya na vibaraka wake
Hii ni Iran leo Jumatatu.....Watu wametoka kwa mamilioni....
Hii nchi nahisi ndo taifa teule itakua sio...
Rais wa mpito wa zamani wa Burkina Faso, anayehusishwa na kupanga njama kadhaa za mapinduzi, amekamatwa nchini Togo na kufukuzwa, kwa mujibu wa vyanzo vya ndani vya habari.
Paul-Henri Sandaogo...
Dunia inayumbishwa na mcheza mieleka,je umewahi kuangalia mieleka ile ya kina undertaker na wenzake,ile mikwara wanayopeana jukwaani hii ndio tabia na desturi aliyoirithi Trump kwa sababu yeye...
I think scientists need to study Trump’s brain. It appears to be anomalous!
Trump ties Greenland takeover bid to Nobel Prize in text to Norway leader — The Washington Post
Venezuela imeonesha mkanda wa video inayomuonesha mmoja wa askari mamluki raia wa Marekani ambaye ni miongoni mwa askari 13 waliokamatwa baada ya kushindwa kwa shambulio la kigaidi
Katika video...
Muswada tata unaolenga kufanya iwe kosa la jinai kwa wanasiasa kudanganya wakati wa kampeni za uchaguzi nchini Wales umeibua mjadala mkali kuhusu uhuru wa kujieleza na mustakabali wa demokrasia...
Wakati Rais Vladimir Putin akikazia mapenzi yake kwenye vita vya Urusi nchini Ukraine, washirika wake wa kimkakati kote duniani wamebaki wakiishi kwa hisia ya kupuuzwa — au hata zaidi.
Nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.