International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Na Tom Wanjala Tofu inayotengenezwa kutokana na maharagwe ya soya inapendwa sana na wachina, ni chakula kinachopatikana kwa rahisi na chenye faida nyingi za kiafya mwilini, na upendo huo wa...
0 Reactions
2 Replies
976 Views
Makundi ya kutetea demokrasia ya Sudan yameanzisha mgomo na kutofuata sheria Jumapili ikiwa ni hatua ya kupinga mapinduzi ya kijeshi ya mwezi uliopita. Washiriki walionekana wachache kwa sababu...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Data mpya zilizotolewa Nchini Marekani zinasema Watu wanaokwenda hospitali kupata huduma za kawaida (sio za CoronaVirus) wanakuwa kwenye hatari ya kupata Maambukizi ya Virusi hivyo Data hizo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hizi habari niliziona mtandaoni nikahisi labda si kweli ila imethibitisha kimataifa, hii ni aibu mno kwa marekani hawa jamaa ni majambazi hivi kumbe Kikosi cha IRGC cha Iran chazima uharamia wa...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Boris Johnson ajiunga na Biden, watwanga usingizi katikati ya mkutano wa tabianchi, Glasgow Nov 03, 2021 10:48 UTC Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amejiunga na Rais wa Marekani Joe Biden...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Hivi karibuni baadhi ya vyombo vya habari za nchi za magharibi vimejaribu kuibeza China kwa kusema sasa itabaki peke yake kwenye iliyokuwa ngome ya nchi zinazotekeleza sera ya maambukizi sifuri ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Magavana wa chama cha Republican wanatarajiwa kuishitaki serikali kuu ya Marekani hii leo kukomesha utawala wa rais Joe Biden kutekeleza amri ya kutaka wafanyakazi wa serikali kupata chanjo dhidi...
2 Reactions
6 Replies
656 Views
======= By James McClain | Variety The landlocked African country of Rwanda is poor. Nearly 40% of the population still lives below the poverty line, though the mostly rural nation is now in an...
7 Reactions
61 Replies
9K Views
Nichukue nafasi hii kwaniaba ya watanzania wezangu wanaojitambua na wanaojua thamani ya mtu mweusi(mwafrika) kuwapongeza ndugu zetu wa Ethiopia kwa kujitambua kwao hakika tungekuwa na nchi Kama...
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Idadi ya kila siku ya maambukizo mapya ya virusi vya corona nchini Ujerumani imefika kileleni. Taasisi ya kudhibiti magonjwa ya kuambukiza, Robert Koch, imerikodi maambukizi mapya 33,949 ndani ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jeshi la Nchi hiyo limewataka Wanajeshi wa zamani kujiunga nao wakati linapambana na Waasi. Wito huo unakuja baada ya Vikosi vinavyoongozwa na TPLF kuendeleza nia ya kwenda Mji Mkuu, Addis Ababa...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
I trust If moïse katumbi become a leader of my country DRC, Kongo will become one of the Best developed countries in africa and our economie will grow up saana. Ndani ya uyu jamaa Kuna power...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Costa Rica yaiorodhosha Corona kama ugonjwa ambao chanjo zake zinatolewa kwa watoto kwa mujibu wa sheria ambapo wazazi wanaweza kuadhibiwa kwa kutotii amri hiyo Utoaji wa chanjo kwa watoto...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jeshi la Yemen ladhibiti ngome ya mwisho ya wavamizi Wasaudi huko Ma'rib Nov 06, 2021 05:04 UTC [https://media] Jeshi la Yemen limeendelea kusonga mbele katika mkoa wa Ma'rib na kuchukua...
0 Reactions
1 Replies
741 Views
Zaidi ya Viongozi 100 wa Dunia waahidi kukomesha ukataji miti ifikapo mwaka 2030, ikiwa ni makubaliano makubwa ya kwanza kwenye Mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa kuhusu athari za Mabadiliko ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mtandao wa Kijamii wa Facebook umefuta Ujumbe wa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed uliowahimiza Wananchi kujipanga na kuandamana kwa njia isiyovunja Sheria wakiwa na silaha ili kuzuia Waasi wa...
3 Reactions
50 Replies
5K Views
Heshima sana wanajamvi, Katika nchi ya Guyana Mwanasiasa machachari apata kipigo cha Paka Mwizi. Nasisitiza kipigo hiki kimetokea katika magareza ya Nchi ya Guyana 🇬🇾 na bendera nimeweka kabisa...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
- Binadamu hua tunaitwa SELF DESTRUCTIVE specie, maana yake ni viumbe wenye uwezo wa kujimaliza wenyewe ukilinganisha na viumbe wengine wote basi binadam tuna sifa hizo, kila nkiwaza vita ya...
5 Reactions
63 Replies
5K Views
Watu kadhaa wamejeruhiwa na wengine wapatao 99 kupoteza maisha kufuatia mlipuko mkubwa katika Mji Mkuu wa Sierra Leone, Freetown baada ya lori la mafuta kugongana na lori lingine Ripoti za awali...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mkuu wa Jeshi, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, amekubali kuharakisha mchakato wa kurejesha Serikali ya Mpito kufuatia mazungumzo na Marekani na Umoja wa Mataifa (UN) Mjumbe Maalum wa UN, Volker...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…