International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limesema waasi wameiangusha helikopta ya Umoja wa Mataifa mashariki mwa nchi hiyo. Takriban watu wanane walikuwa kwenye ndege hiyo iliyodunguliwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Watu watano wameuawa Jumanne katika shambulio la risasi katika mji wa Israel wa Bnei Brak, kitongoji cha mji wa Tel Aviv. Ni shambulizi baya la tatu katika siku za karibuni. Siku mbili...
1 Reactions
3 Replies
571 Views
Wakati Urusi inaivamia Ukrain, watu wengi walijua Urus inaenda kuiteka Ukrain ndani ya siku chache, lakini mambo ni tofauti. Pia, Putin alikuwa anasema anaenda kuuondoa uongozi wa Ukrain wa...
8 Reactions
56 Replies
3K Views
Kiongozi wa majadiliano ya usuluhishi wa Ukraine amesema mazungumzo ya leo pale Instanbul Uturuki yamekwenda vizuri na kuna uwezekano mkubwa wa kuwakutanisha Marais Zelensky na mwenzake Putin hivi...
3 Reactions
50 Replies
3K Views
Kutokana na mataifa ya NATO na US kupeleka dhana za kivita Ukraine kwa ajili ya kupambana na mrusi, haitokuwa ajabu Urusi kwa ghafla na bila kutegemea, anaweza kutumia dhana zake za maangamizi...
14 Reactions
179 Replies
10K Views
Mimi binafsi sipendi vita, na katika vita vya Ukraine sitaki kushabikia upande wowote kuhusu mauaji, japokuwa siungi mkono kabisa uvamizi wa kijeshi wa Russia katika nchi ya Ukraine kwa kuwa...
14 Reactions
192 Replies
10K Views
Mkurugenzi mpya wa shirika machachari sana dunia la Israel(MOSSAD), ameionya Iran kwamba mashambulizi zaidi ya kimtandao yatawajia. New Mossad Chief David Barnea is threatening to launch more...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Image captionWaandamana kumpinga kabila Maandamano ya upinzani yanafanyika nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kupinga uamuzi wa mahakama ya kikatiba mapema mwezi huu kwamba rais Joseph kabila...
0 Reactions
64 Replies
8K Views
USSR na Urusi ya leo wana legacy gani Afrika? Nimeona juzi kati kuwa wakati mambo yamemfika kooni, Patrice Lumumba aliomba msaada USSR kuweka nchi sawa. Nchi ikatulia. Bahati mbaya akapinduliwa...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Watu wenye silaha nchini Nigeria wameripotiwa kuwateka nyara idadi isiyojulikana ya abiria kutoka kwa treni katika jimbo la Kaduna kaskazini mwa nchi hiyo. Genge hilo lilichimba njia kati ya mji...
1 Reactions
2 Replies
661 Views
Rais Joe Biden amesema Bungeni kuwa Rais wa Urusi, Vladimir Putin alifikiri vibaya kuhusu hatua ambazo Mataifa ya Magharibi yangechukua alipoivamia Ukraine. Amesema Vita ilipangwa bila...
8 Reactions
65 Replies
6K Views
Rais wa Marekani, Joe Biden amemshambulia moja kwa moja Rais wa Urusi, Vladimir Putin katika hotuba yake kwa kusema ‘Mtu huyo hatakiwi kuendelea kuwa na nguvu’ na kuonya kuwa kama akiendelea...
6 Reactions
61 Replies
5K Views
Ama kwa upande mwingine, wananchi wapatao 500,000 wa Ukraine wamerejea kutoka nje tangu kuanza kwa uvamizi wa Urusi. Kwa mujibu wa msemaji wa polisi wa mpakani wa Ukraine Andriy Demchenko, wiki...
1 Reactions
4 Replies
523 Views
Ikiwa umepita mwezi mmoja tangu majeshi ya Russia kuvamia Ukraine uharibufu mkubwa umeonekana kuendelea kufanyika. Kama Russia na majeshi yake yameshidwa kuyadhibiti majeshi ya Ukraine ni bora...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Kila siku naomba hivi vita viishe kwani watoto, wamama na wazee ndio wanaoangamia sana. Pamoja na hayo hivi Ukraine imeshindwa kabisa kurusha hata kombora Moja tu hapo Moscow Ili na huyu muuaji...
10 Reactions
89 Replies
5K Views
Here is what he just wrote in defense of his earlier 'misquoted' statement about the CSOs fund disbursement. Note: The language shift is mine. -- As the Minister in charge of Finance, I have a...
0 Reactions
6 Replies
672 Views
28 March 2022 SDE BOKER, Israel Video courtesy of Al Jazeera The talks centered on shared concerns, particularly over Iran, and on food shortages brought on by the war in Ukraine, which are...
0 Reactions
0 Replies
689 Views
Mbunge wa Ukraine ambaye ni naibu waziri wa elimu bi Inna Sovsum ameiponda ziara ya rais Biden wa Marekani aliyoifanya nchini Poland. Amesema hotuba zake za kuwataka wananchi ya Ukraine...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Taarifa zinasema kuwa chanjo ya Corona kutoka Urusi (Sputnik V) zinaweza kukupa kinga dhidi ya kirusi cha H.I.V kwa asilimia sabini na tisa (79%)!!!!. Hapa Condom haina ujanja tena, Serikali...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu Hali mbaya kwa Putin, Baada ya matsifa kadhaa kuiwekea vikwazo vya kibiashara Russia Mambo yamekuwa magumu. "We're getting more reports about rationing of some staple foods in Russia. There...
7 Reactions
92 Replies
6K Views
Back
Top Bottom