Majeshi ya Russia yanazidi kufanya uharibifu mkubwa nchini Ukraine.....

prumpeti

JF-Expert Member
Feb 28, 2022
1,021
2,279
Ikiwa umepita mwezi mmoja tangu majeshi ya Russia kuvamia Ukraine uharibufu mkubwa umeonekana kuendelea kufanyika.

Kama Russia na majeshi yake yameshidwa kuyadhibiti majeshi ya Ukraine ni bora kurudi nyuma kuliko kutumia silaha nzito kwenye makazi ya raiyaa.

Tuwaombee amani watu wa Ukraine.

Kwa pamoja tunasema Putin sitisha vita Ukraine.

202202ECA_Ukraine_bombing_school.jpg
2022-03-17T155816Z_562783811_RC294T9RNVGV_RTRMADP_3_UKRAINIE-CRISIS-MARIUPOL.jpg
 
Mkuu hiyo ni ile mtu umempiga na kumtoa manundu kila sehemu halafu anakudoelea upo bize na shughuli zako anaenda kukufanyia uharibifu shamban kwak au kukata ndizi zako changa kwa mapanga. russia ni big looser
 
War doesn't determine who's right,only who's left.

Winston Churchill.

Raia wamegawiwa silaha wakapigane halafu unategemea Urusi isishambulie makazi ya hao raia.

Raia kuhamasishwa kwenda kupigana lenyewe ni kosa.
 
Ikiwa umepita mwezi mmoja tangu majeshi ya Russia kuvamia Ukraine uharibufu mkubwa umeonekana kuendelea kufanyika..
Kama Russia na majeshi yake yameshidwa kuyadhibiti majeshi ya Ukraine ni bora kurudi nyuma kuliko kutumia silaha nzito kwenye makazi ya raiyaa....


Tuwaombee amani watu wa Ukraine ...
Kwa pamoja tunasema Putin sitisha vita Ukraine..View attachment 2167313View attachment 2167314View attachment 2167315

Russia Haipigani inafanya oparetion acheni kulia lia
 
Mkuu hiyo ni ile mtu umempiga na kumtoa manundu kila sehemu halafu anakudoelea upo bize na shughuli zako anaenda kukufanyia uharibifu shamban kwak au kukata ndizi zako changa kwa mapanga., russia ni big looser

Mkuu hiyo ni ile mtu umempiga na kumtoa manundu kila sehemu halafu anakudoelea upo bize na shughuli zako anaenda kukufanyia uharibifu shamban kwak au kukata ndizi zako changa kwa mapanga., russia ni big looser

Screenshot_20220328-211908.png
 
Back
Top Bottom