Kimenuka DRC, maandamano ya kumpinga Kabila

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
160526113509_drc-protests_640x360_bbc_nocredit.jpg

Image captionWaandamana kumpinga kabila
Maandamano ya upinzani yanafanyika nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kupinga uamuzi wa mahakama ya kikatiba mapema mwezi huu kwamba rais Joseph kabila atasalia madarakani baada ya mda wake kukamilika iwapo uchaguzi hautafanyika mwishoni mwa mwaka huu.

Maandamano hayo yamepigwa marufuku katika maeneo mengine ikiwemo mji wa Lubumbashi nyumbani kwa mgombea wa urais wa Upinzani Moise Katumbi.

Mashariki mwa mji wa Goma hali inazidi kuwa mbaya ,huku waandishi wa habari wakituma ujumbe wa Twitter kwamba jeshi limekuwa likifyatua risasi na kuwazuia raia kukongamana.

Mwandishi huru wa habari Ley Uwara alituma ujumbe wa Twitter kwa lugha ya Ufaransa kwamba hakuna uchukuzi wa umma hivyobasi watu wameshindwa kwenda kazini.

160526113421_drc-protests_640x360_bbc_nocredit.jpg

Image captionWaandamana Kumpiga kabila
Mjini Goma katika eneo la Birere,amesema kuwa ni mchezo wa paka na panya ambapo vijana wamekuwa wakijibizana na polisi kwa kuwarushia mawe huku nao maafisa hao wakiwatupia vitoa machozi.

Anasema kuwa baadhi ya vijana wamekamatwa na jeshi kutumwa ili kuwasaidia maafisa wa polisi.

Mshirikishe mwenzako Unavyoweza kumshirikisha mwenzako
 
Kabila hata afanyeje Wakongo huwaambii kitu sasa kwa Moise Katumbi Chapwe hasa ukizingatia Wakongo wengi ni Wapenda Michezo hivyo wamepima mafanikio yake katika Michezo hasa akiwa na Timu ya Tou Pissant Mazembe na alivyoifanikisha hadi kutisha si tu Afrika bali hadi duniani. Wanadamu ( wapiga kura ) wanaweza wakakupenda kwa kitu kidogo tu hata kama kwako kitaonekana cha Kipuuzi. Ila kiukweli huyu Katumbi anaweza akaibadili Congo kutokana na exposure na networking yake hasa Kibiashara na kujua mno kujichanganya na Wana Kongo. Kushindwa kwa Katumbi kuwa Rais wa DRC labda wamtoe Uhai ( wamuue ) na hata kama wakimuua Kabila asitarajie ataongoza vizuri kwani nchi haitakalika na tunaweza kuona yale ya 1996 hadi 1998.
 
Needs no further explanations hapa record speaks for itself...VOTE FOR KATUMBI
Political career[edit]

In 2006, Katumbi was elected as a deputy in the National Assembly.[7][13] He was elected as the first democratically-elected Governor of the Katanga Province in January 2007, receiving 94 votes out of 102.[8][10]
Katumbi's governance has been credited with bringing economic revival to the province through developing infrastructure, encouraging foreign investment with tax breaks and reduced government procedures, and targeting corruption.[18][26][27] Through Katumbi's efforts as governor, local taxes increased from $80 million in 2007 to more than $3 billion in 2014.[27][28] Annual revenues increased from 100 million in 2007 to 1.5 billion by 2013.[17]
Shortly after he took office as governor, Katumbi implemented an export ban for raw minerals, including cobalt, forcing major mining companies to either build processing plants in the province or pay a tax on the exported concentrate.[13][27][29] Under Katumbi, copper production increased from 8,000 metric tons in 2006 to more than 1 million tons in 2014.[28]
Along with mining, Katumbi focused on expanding other areas of the province's economy including the service industry, energy and agriculture.[8] He offered both free farmland and tax breaks for farmers to encourage food production. Reliance on imported food decreased 68% between 2006 and 2011. In 2014, the amount of food grown locally had tripled.[28]
The accomplishments of his administration included improving travel and commerce through the building or rebuilding more than 1,500 kilometers (approximately 30%) of roads and the increase in other infrastructure, including bridges, hospitals and schools. Access to clean water rose from 3% to 67% between 2007 and 2013.[8][17] Additionally, within 6 years, the number of children attending school increased from 400,000 in 2007 to 3 million in 2014.[13][17][28] The number of girls enrolled in school tripled.[17] Worker-focused initiatives included encouraging local mining companies to invest in growing crops for their employees and the banning of "unnecessary dismissal of employees".[13]
In September 2015, Katumbi resigned as governor and from his political party, the People's Party for Reconstruction and Democracy.[2][30]
 
Kabila hata afanyeje Wakongo huwaambii kitu sasa kwa Moise Katumbi Chapwe hasa ukizingatia Wakongo wengi ni Wapenda Michezo hivyo wamepima mafanikio yake katika Michezo hasa akiwa na Timu ya Tou Pissant Mazembe na alivyoifanikisha hadi kutisha si tu Afrika bali hadi duniani. Wanadamu ( wapiga kura ) wanaweza wakakupenda kwa kitu kidogo tu hata kama kwako kitaonekana cha Kipuuzi. Ila kiukweli huyu Katumbi anaweza akaibadili Congo kutokana na exposure na networking yake hasa Kibiashara na kujua mno kujichanganya na Wana Kongo. Kushindwa kwa Katumbi kuwa Rais wa DRC labda wamtoe Uhai ( wamuue ) na hata kama wakimuua Kabila asitarajie ataongoza vizuri kwani nchi haitakalika na tunaweza kuona yale ya 1996 hadi 1998.
Mkuu ANTI - BIOTIC ( GENTAMYCINE ) MOISE KATUMBI Asije kuwa kama huyu wa Nyumbani .
Japo jamaa Yuko vizuri Sana Kila kitu.
 
Huyu wa nyumbani yupi sasa Lowassa au Magufuli? Kwakuwa tayari umeshakiri kuwa Moise Katumbi Chapwe yuko vizuri na ana kila kitu sina tena la kuongeza hapo sana sana pigia tu mstari ulichokiandika mwisho kwani ndiyo ukweli mtupu. Hata Kipesa Lowassa na Magufuli na Vyama vyao wachanganye Pesa zao zote bado hawawezi hata kufikia tu robo tatu ya Pesa / Hela za Moise. Na kumbuka kuwa kuna tofauti ya kuwa na Shilingi, Pesa / Hela na Fedha. Kwa mfano tu ulio hai ni kwamba:
  1. Mimi Gentamycine nina Shilingi tu za kununua Tembele, Dagaa na Maharage ( Masikini niliyetukuka )
  2. Lowassa na Magufuli pamoja na CHADEMA na CCM wana Pesa / Hela ( Wanaondokana na Umasikini )
  3. Moise Katumbi Chapwe ana FEDHA narudia tena Moise Katumbi Chapwe na FEDHA ( Tajiri aliyetukuka )
Moise Katumbi Chapwe unaweza kumfananisha na Matajiri Wakubwa wa Afrika kama:
  1. Aliko Dangote wa Nigeria
  2. Patrice Motsepe wa Afrika ya Kusini mmiliki wa Timu maarufu ya Mamelodi Sundowns
  3. Kaizer Motaung wa Afrika ya Kusini mmiliki wa Timu maarufu ya Kaizer Chiefs
Kabila hata afanyeje Moise Katumbi Chapwe ndiyo Rais ajaye wa DRC japo natabiri umwagaji damu mkubwa sana mwaka huu huko Congo na hadi kuelekea Uchaguzi Mkuu. Kabila anaenda kutumia nguvu sana ya Kijeshi na Kiusalama kummaliza Moise na Wafuasi wa Moise hawatakubali hivyo tutegemee kupokea Wakimbizi wengi kutoka Congo na tuanze pia kuunda Bendi zetu za Miziki hapa Tanzania kwani akina " Bandeko na Ngai " a.k.a Wazairwaa wengi watamiminika Bongo kujiokoa huku tusisahau kuwachunga Wake na Mademu zetu kwani Wanaume wa Kikongo wanajua " kutekenya " na hakuna Binti au Mwanamke yoyote ambaye atafanya Mapenzi na Mkongo asirudi tena au asimng'ang'anie huku akimuhonga. Siku nyingine nitakuja kutoa SIRI kubwa ya kwanini Wanaume wa Kongo ni Mafundi wa " Ngono " japo naogopa kusema kwani najua Wanaume wa Kitanzania mtaanza kuwachukia na hata kuwafukuza!
 
Sawa Mkuu.
 
nah
Kabila hata afanyeje Wakongo huwaambii kitu sasa kwa Moise Katumbi Chapwe hasa ukizingatia Wakongo wengi ni Wapenda Michezo hivyo wamepima mafanikio yake katika Michezo hasa akiwa na Timu ya Tou Pissant Mazembe na alivyoifanikisha hadi kutisha si tu Afrika bali hadi duniani. Wanadamu ( wapiga kura ) wanaweza wakakupenda kwa kitu kidogo tu hata kama kwako kitaonekana cha Kipuuzi. Ila kiukweli huyu Katumbi anaweza akaibadili Congo kutokana na exposure na networking yake hasa Kibiashara na kujua mno kujichanganya na Wana Kongo. Kushindwa kwa Katumbi kuwa Rais wa DRC labda wamtoe Uhai ( wamuue ) na hata kama wakimuua Kabila asitarajie ataongoza vizuri kwani nchi haitakalika na tunaweza kuona yale ya 1996 hadi 1998.
kama ndivyo basi Yanga atamfunga mazembe kirahisi kama sehemu ya kampeni
 
Umwagaji damu ushaanza tayari
 
...na ukichukulia Moise Katumbi ni mtoto wa nyumbani.
 
hali kama hii ingekuwa burundi tungesikia 'kagame'
Hebu jitanue kifikra mkuu. Wacongo wanajua kuwa wanaongozwa na mnyarwanda. Joseph Kabila ni mtusi wa rwanda kama alivyo bosco ntaganda na laurent nkundabatware (nkunda),jina lake halisi anaitwa Hyporite Kanambe. Mama yake ni dada wa mkuu wa majeshi wa Rwanda James Kabarebe kwa baba mmoja na mama mmoja. Baba yake hyporite alikuwa mshirika mkubwa wa desire kabila, hivyo mzee kanambe alivyofariki kwa kupigwa risasi na kutoswa ziwani, desire kabila akamuoa mama yake hyporite. Mzee Kanambe aliacha watoto wawili, hyporite na dada yake. Hivyo Joseph Kabila ( hyporite) sio mtoto wa Kabila. Mauaji ya Laurent Kabila yaliandaliwa na kutekelezwa na Paulo kagame akishirikiana na yoweri museveni. Ni historia ndefu sana ya kwa nini Kabila aliuawa na Joseph akakabidhiwa nchi. Kanambe anaongoza nchi kwa msaada na matakwa ya kagame na museveni. Sasa wacongo wanayajua haya yote lkn walisubiri muda muafaka ili wamtoe kanambe. Unafikiri ni kwa nini uchaguzi haupo Congo mwaka huu ? Muwe mnajifunza na kudadisi sio kuandikaandika tu msiyoyajua.
 
...na ukichukulia Moise Katumbi ni mtoto wa nyumbani.

Wala hujakosea Mkuu na labda tu niwaambie wengine kuwa Moise Katumbi Chapwe anawakilisha ule mpango wetu wa kuwa na HIMA / TUTSI EMPIRE Afrika ya Mashariki na tayari tumeshaweza Tanzania, juzi Uganda na kuna Mtu tunamwandaa akamtoe Uhuru na Ruto wake Kenya, tunamsubiri Mzee Mkapa amalize kuwachanganya Waburundi Kisaikolojia huko Arusha ili mwaka huu au mwakani tumweke Mtu wetu huko Burundi huku Rwanda Kwetu akiwepo mwenyewe mwenye UTUTSI wake Paul Kagame na sasa tumeshakamilisha kila kitu cha kumwezesha Mnyarwanda mwenzetu wa Kabila lililobarikiwa KIAKILI, KIVITA, KIMIPANGO na KIMIKAKATI la TUTSI ambaye si mwingine bali ni Tajiri na mmiliki wa Timu ya TP Mazembe Bwana Moise Katumbi Chapwe. Na Sisi Wanyarwanda tutafanya kila liwezekanalo ikibidi hata kujitoa SADAKA ili Katumbi awe Rais wa nchi ya Kidemokrasia ya Watu wa Kongo. Japo Kabila ni Mtutsi mwenzetu ila AMETUSALITI sana kwa Kudanganywa na Vasco Da Gama wa Tanzania ( Mstaafu ) na tutamsamehe mpaka akituomba MSAMAHA kwani tulitoa DAMU za Wanyarwanda akina ( Kadogoo ) ili yeye na Marehemu Baba yake wale Kuku kwa mrija huko DRC lakini AMEJISAHAU na kusahau nguvu ya KITUTSI ambayo HAIZUILIKI na Mtu yoyote isipokuwa tu mwenyewe Mwenyezi Mungu.
 
Wakati mwingine huwa nacheka sana nikiyaona maandiko kama haya. Nacheka kwa sababu nimeshindwa kuifafanua akili yako,na zaidi majigambo uliyonayo yananiacha hoi. Anyway, mtadhibitiwa kikamilifu.
 
Chemical Ally wa the great lake regions hivyo tuvumiliane tu!
 
katumbi anachukua Nchi mambo ya siasa alianzia Zambia nakumbuka alitimuliwa kwa kuwa sio mzawa wa zambia ndio akarudi kwao na kujihusisha sana katika jamii hasa kupitia michezo..sasa wamemuelewa sidhani kama kutakua na kipingamizi hapo maana kabila yeye anatumia jeshi raia wanamtaka Katumbi..
 
Kabila hata afanyeje Wakongo huwaambii kitu sasa kwa Moise Katumbi Chapwe hasa ukizingatia Wakongo wengi ni Wapenda Michezo hivyo wamepima mafanikio yake katika Michezo hasa akiwa na Timu ya Tou Pissant Mazembe na alivyoifanikisha hadi kutisha si tu Afrika bali hadi duniani. Wanadamu ( wapiga kura ) wanaweza wakakupenda kwa kitu kidogo tu hata kama kwako kitaonekana cha Kipuuzi. Ila kiukweli huyu Katumbi anaweza akaibadili Congo kutokana na exposure na networking yake hasa Kibiashara na kujua mno kujichanganya na Wana Kongo. Kushindwa kwa Katumbi kuwa Rais wa DRC labda wamtoe Uhai ( wamuue ) na hata kama wakimuua Kabila asitarajie ataongoza vizuri kwani nchi haitakalika na tunaweza kuona yale ya 1996 hadi 1998.
....Katumbi hawezi kumuondoa madarakani Kabila,habari ya utajiri wake sijui na michezo atabaki nayo hivyo hivyo. Uchaguzi uliopita Kabila alikuwa na ushindani mkali zaidi ya huu wa sasa na bado akamshinda mpinzani wake(jina nimesahau),Siasa za kiafrika waachie wenyewe wanasiasa!
 
Back
Top Bottom