International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mgonjwa wa pili aliyekuwa anaugua Ugonjwa wa Ebola amefariki dunia huko Kaskazini Magharibi mwa DRC. Taarifa hiyo imetolewa na Shirika la Afya Duniani (WHO), ikiwa ni siku chache baada ya mlipuko...
1 Reactions
0 Replies
719 Views
Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amemwambia mwenzake Volodymir Zelensk wa Ukraine kwamba taifa lake lipo tayari kutoa kila usaidizi katika mchakato wa majadiliano kati ya Urusi na Ukraine...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Jumuiya ya kimataifa imeelezea wasiwasi mkubwa juu ya ghasia zinazoendelea mjini Jerusalem, siku moja baada ya makabiliano baina ya polisi wa Israel na Waplestina kujeruhi watu zaidi ya 200...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Msemaji wa chama cha Tigray People's Liberation Front (TPLF),alikaririwa na vyombo vya habari akidai Aprili 25, 2022 majeshi yao yaliondoka Mkoani Afar, akiongeza kuwa anatumai kwamba msaada wa...
2 Reactions
1 Replies
687 Views
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amemueleza Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz kuwa nchi yake haitaki vita barani Ulaya. Viongozi hao wawili walikutana jana mjini Moscow ikiwa ni juhudi za hivi...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
Wengi uwenda hawato amini na uwenda wengi watafikiri ni uchawi ila jambo zito kutoka ndani ya Russia Federation lita iyacha dunia midomo wazi na vita kusimama. Habari ambazo sio Rasmi upo...
15 Reactions
176 Replies
12K Views
SAN FRANCISCO, April 25, 2022 /PRNewswire/ -- Twitter, Inc. (NYSE: TWTR) today announced that it has entered into a definitive agreement to be acquired by an entity wholly owned by Elon Musk, for...
1 Reactions
4 Replies
811 Views
Urusi iko Ulaya kwanini huwa haitaki kujiunga na Jumuiya ya Ulaya? Sababu nchi za kiafrika hujiunga jumuiya ya Umoja wa nchi za kiafrika za kiarabu hivyo hivyo nk kuliko Urusi? Wajuzi njooni mjibu
3 Reactions
41 Replies
3K Views
Report ya kinacho endelea huko ukrine kwa mheshimiwa zelensky Ni siku kadhaa tangu kuanza kwa operation phase ii .... Huko Ikulu ya Kremlin , ambapo amezuru waziri wa Ulinzi Jenerali Shoigu na...
17 Reactions
37 Replies
3K Views
Inasikitisha sn nchi iliyokuwa na bandari yake wanalima wana export nje mazao leo kuanza maisha bila bandari, maana nnasikia puttin anataka kuunganisha huo mji wenye bandari uwe sehemu ya donbass.
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa kweli Urusi imefikia kiwango kipya cha aibu, mpaka wanapokea misaada ya silaha kutoka kwa waasi, kainchi kadogo Ukraine kamekua mfupa uliomshinda fisi.... Iranian networks have been working...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Read and see photos below: If you think eating pig is strange, you've never been to Cameroon, Nigeria, Ghana, or Gabon, where people market and buy bushmeat for human consumption and other...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wasalaam, Nahitaji kujua kwanini Ukraine haishambulii moja kwa moja kwa makombora yake na kupiga maeneo mbalimbali ya Russia! Asanteni.
5 Reactions
109 Replies
7K Views
Serikali ya shirikisho la Urusi inaandaa kura ya maoni itakayolifanya jimbo la Kherson kuwa nchi kamili Mpaka sasa kura hiyo inatarajiwa kuungwa mkono na wapiga kura zaidi ya 95% kutokana na...
29 Reactions
140 Replies
10K Views
Kura za awali na matarajio yaliyopo yanaonyesha Rais Emmanuek Macron anaekekea kutetea kiti chake kwa ushindi unaotegemewa kufikia 58.2% dhidi ya Marine Le Pen. Source: BBC
2 Reactions
5 Replies
752 Views
Drones za Uturuki ni hatari sana, na ndio dunia inakoelekea, ujeda wa kukaa ofisini ukibonyeza bonyeza, sio ubabe wa kupasua matofali kwa kichwa. _____________ Ukraine’s Armed Forces reported...
13 Reactions
116 Replies
47K Views
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amefanikiwa kutetea nafasi yake ya Urais baada ya kumshinda mpinzani wake, Marine Lepen katika raundi ya pili ya Uchaguzi wa Rais Nchini humo Kura zimeonesha...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa siku chache mabilionea wawili wenye hela za kutupa na kumwaga wameuawa pamoja na familia zao, mmoja kafia Moscow, Urusi ndani pamoja na mkewe na watoto ila ikasemwa amejitoa uhai baada ya kuua...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Mgombea urais wa Ufaransa bi Marine Le Pen said amesema anaunga mkono vikwazo vyote vya kiuchumi kufuatia uvamizi wake kwa nchi ya Ukraine isipokuwa nishati ya gesi. Bi Le Pen katika siku za...
11 Reactions
40 Replies
3K Views
Katika kipindi cha wiki moja iliyopita, Rais wa Marekani Joe Biden ametoa matamshi kadhaa ambayo yameonyesha kuongeza joto uhusiano kati ya Marekani na Urusi. Hata hivyo, maneno yake ya mwisho...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom