Ferdinand "Bongbong Marcos" Jr. ameshinda urais wa Philippines kwa zaidi ya asilimia 50 za kura huku mpinzani wake wa karibu akiwa na wastani wa 30%.
Baba yake Dikteta Ferdinand Marcos aliitawala...
Katika mataifa yaliyopata Hasara kubwa sana katika Vita ya Dunia ni Urusi kwa kuanzia miji yake mikubwa kuwa sehemu ya mapambano.
Wakati Joto la vita likianza kutukuta Stalin na Viongozi wengine...
Serikali imetoa Madaraka ya Dharura kwa Jeshi na Polisi kukamata na kuhoji watu bila kuwa na Kibali, ikiwa ni siku moja baada ya maandamano kusababisha vifo vya watu 7 na wengine zaidi ya 200...
09 May 2022
Manila, Philippines 🇵🇭
Katika muendelezo wa watoto wa marais kuibuka baadaye kushika uongozi wa nchi, huko nchi ya visiwa vya Philippines watoto wa Dictator Marcos na dictator Rodrigo...
Baadhi ya watu wanadhani Urusi imekurupuka.
Ukweli Urusi kila hatua kwa op hii ilipangwa.
Urusi inaijua Marekani nje ndani kama ambavyo Marekani inaweza kuwa inaijua Urusi,kwa sababu ya historia...
Putin: Nchi za magharibi zilikua zinataka kutuvamia
Katika hotuba ya Vladimir Putin siku ya maadhimisho ya siku ya ushindi, Alisema nchi za Magharibi hazikutaka kusikiliza Urusi, na walikuwa na...
Kwa yanayoendelea huko vitini ni mapenzi, vilio, mashaka na ushetani wa hali ya juu sana. Kila siku makombora ya Russia yanaangamiza miji, miundombinu, na kuua au kujeruji mamia...
Je, Russia ana uwezo wa kiwawekea vikwazo NATO na USA kama walivyomuwekea yeye?
Je, kati ya Russia na NATO na USA nani anamhitaji mwingne kimaslahi zaidi.
Je, Russia ana uwezo wa kuwapiga ban ya...
Ukraine imeishutumu Urusi kwa kupanga kufanya gwaride la kijeshi la 'Siku ya (mashujaa) katika mji uliotekwa wa Mariupol tarehe 9 Mei kusherehekea ushindi dhidi ya Wanazi katika vita vya pili vya...
Kwakweli Urusi kashindwa vita asubuhi na mapema ,
Zelensky jana amesema sasa hivi hakuna vita itakayosimama hadi Russia aondolewe Ukraune au aondoke.
Halafu ule mchezo wa pale Azovsta ulipangwa...
Kamanda (kiongozi anayeamuru na kutoa kamandi za kijeshi) wa kikosi cha Marine ktk jeshi la Ukraine Colonel Volodymyr Baraniuk pamoja na afisa mkuu wa kijeshi Colonel Dmytro Kormiankv wamedakwa na...
Kwa mara nyingine tena Ms Leni Robredo atapita alimopita Carazon Aquyo na Gloria Aroyo.
Ni VC president na mgombea nafasi ya Rais..
Huyu ndio Samia wa Filipino 👇
.Wote tumeshuhudia mfumuko wa Bei za bidha mbalimbali ulimwenguni kote.
Kwanza tulishuhudia uchumi wa Dunia ukitikiswa na ugonjwa wa corona miaka miwili iliopita. Hali iliyosababisha uzalishaji...
Kiongozi wa Taliban ameamuru Wanawake Nchini Afghanistan kuvaa "Chador" ambayo hufunika uso na sehemu kubwa ya mwili. Hii ni moja ya amri kali zaidi kutangazwa tangu Taliban ilipochukua Madarala...
Imefahamika kuwa Marekani ilishiriki katika kuisadia Ukraine kuipa taarifa za kiintelijesnia mahala ilipo meli ya kivita ya Urusi ya Moskva kabla ya meli hiyo kushambuliwa na kuzama.
Chanzo...
Uingereza imeeleza kwamba itaipatia Ukraine msaada mwingine wa kijeshi wa thamani ya Paundi bilioni 1.3 (Sawa na Dola bilioni 1.6) , hayo yameelezwa kabla ya kikao cha kundi la nchi 7 (G7) zenye...
Muungano wa Mashirika ya Ndege nchini Nigeria umesema utasimamisha safari zote za ndege kuanzia kesho Jumatatu kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta, Muungano huo umesema bei ya mafuta ya ndege...
Hayo yamesemwa na msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa Urusi Maria Zakharova huku akiweka wazi pia kuwa mamluki wa Israeli wanapigana bega kwa bega na Azov nchini Ukraine.
“Bado, nitasema kitu...
Meli ya Urusi maarufu Kama Admiral Grigorovich ya Wanamaji inaungua karibu na kisiwa cha Zmiiny katika Black sea , ndege za uokoaji za Urusi zinaendelea na juhudi za kuzima moto
The Admiral...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.