Kwa yanayoendelea huko vitini ni mapenzi, vilio, mashaka na ushetani wa hali ya juu sana. Kila siku makombora ya Russia yanaangamiza miji, miundombinu, na kuua au kujeruji mamia.
Kilichonisikitisha sana ni kauli ya wanajeshi wanaozuiliwa kwenye kiwanda cha chuma pale Mariupol. Wanasema ni miujiza tu ndio itawaokoa huku dunia nzima ikitazama kama movie.
Hebu tuache ushabiki na kuangalia namna ya vita kusimama. Watu warudi kwenye maisha ya kawaida. Tuache ushabiki wa kijinga. Hata hao wakubwa (US. UK and other allies) hawana msaada mkubwa kuwaokoa Ukranians