Taliban yaamuru Wanawake kujifunika kwenye maeneo ya umma

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Kiongozi wa Taliban ameamuru Wanawake Nchini Afghanistan kuvaa "Chador" ambayo hufunika uso na sehemu kubwa ya mwili. Hii ni moja ya amri kali zaidi kutangazwa tangu Taliban ilipochukua Madarala Mwaka 2021

Imeelezwa kuwa, Baba au ndugu wa kiume wa karibu anaweza kufungwa au kufukuzwa kazi Serikalini ikiwa Mwanamke hatojifunika uso akiwa nje ya nyumba

Tangu kuchukua Mamlaka Nchini humo, Taliban imerejesha vikwazo kadhaa vinavyominya Uhuru, huku vikiwa vinawalenga zaidi Wanawake

=========

Afghanistan’s supreme leader has ordered the country’s women to cover their faces in public – one of the harshest restrictions imposed on them since the Taliban seized power last year and an escalation of growing restrictions on women that is drawing a backlash from the international community and many Afghans.

“They should wear a chadori (head-to-toe burqa) as it is traditional and respectful,” said a decree issued by Taliban chief Haibatullah Akhunzada that was released by authorities at a function in Kabul on Saturday.

A spokesman for the Ministry for the Propagation of Virtue and the Prevention of Vice read the decree from Akhunzada at a media conference, saying that a woman’s father or closest male relative would be visited and eventually imprisoned or fired from government jobs if she did not cover her face outside the home.

The spokesman added that the ideal face covering is the burqa, which became a global symbol of the Taliban’s previous hardline rule from 1996 until 2001. Most women in Afghanistan wear a headscarf, but many in urban areas, such as Kabul, do not cover their faces.

Speaking to Al Jazeera, Fawzia Koofi, former Afghanistan parliament deputy speaker, said the Taliban’s decrees regarding women can only be regarded as “oppression and repression”.

“The question is, in the middle of all this suffering for Afghan people, why is the issue of women the only one taking priority,” asked Koofi, while referring to the deepening economic crisis across the country.

“The biggest challenge women face every day is the lack of jobs and economic crisis,” she said.

Since taking over Afghanistan, the Taliban have reintroduced draconian restrictions on freedoms and movements, particularly directed at women, that are reminiscent of their last rule in the 1990s.

Source: Al Jazeera
 
Imeelezwa kuwa, Baba au ndugu wa kiume wa karibu anaweza kufungwa au kufukuzwa kazi Serikalini ikiwa Mwanamke hatojifunika uso akiwa nje ya nyumba
emoji848.png
emoji15.png
emoji3064.png
emoji2827.png
 
Ingawa Tanzania hatuna Sheria kama hizo Ila kama vipi tungejitahidi tucopy kwajili ya wadada zetu wanaovaa hovyo na wale wanaocheza uchi kwenye magari mchana kweupe.
maadili yametoweka kabisa Tanzania hasa DAR ni hatari Sana Kwa kizazi hiki....nawaunga mkono Taliban fighters Kwa kuliona hilo
 
Ni sahihi na tanzania tungepata utawala wa namna hii ingefaa sana hizi rangi rangi zinatuua
 
Ingawa Tanzania hatuna Sheria kama hizo Ila kama vipi tungejitahidi tucopy kwajili ya wadada zetu wanaovaa hovyo na wale wanaocheza uchi kwenye magari mchana kweupe.
maadili yametoweka kabisa Tanzania hasa DAR ni hatari Sana Kwa kizazi hiki....nawaunga mkono Taliban fighters Kwa kuliona hilo
Huwezi control dunia yote iwe sawa..Mungu mwenyewe kashindwa utabaki wewe mmakonde.

Jilinde wewe mwenyewe huwezi walinda wote...

#MaendeleoHayanaChama
 
Ingawa Tanzania hatuna Sheria kama hizo Ila kama vipi tungejitahidi tucopy kwajili ya wadada zetu wanaovaa hovyo na wale wanaocheza uchi kwenye magari mchana kweupe.
maadili yametoweka kabisa Tanzania hasa DAR ni hatari Sana Kwa kizazi hiki....nawaunga mkono Taliban fighters Kwa kuliona hilo
Hamia huko kwa hao Mujahedeen.
 
Huku kwetu wanawake wamepigwa marufuku kukaa kwa kujibinua kwenye bodaboda.
 
Wanawake wa Afghanistan wanapata shida Duniani na watapata shida mbinguni kwani huko wataenda kugawiwa kwa wanaume. Kila mwanaume atakua na wanawake 60 warembo ila atapewa nguvu za kutumia 100.

Kwa mujibu wa dini, wanawake ni watu wa kutumika tu kuwalidhisha wanaume kingono, hapa Duniani na huko mbinguni. Kwa lugha nyingine wanawake ni vyombo vya starehe ya ngono kwa mwanaume.

Kuna hadithi nyingine zinasema Allah alimwambia mtume kila mwanaume atapewa mabipkra 72 awe anakula kila siku kadri anavyotaka.

Yaani mbinguni ni mwendo wa kupiga miti tu. Wanawake kazi mnayo kwa kweli.
 
Mungu alimuumba kwanza Adamu, baada ya kuwa mpweke ndio akaletewa mwanamke, hivyo basi mwanamke kaumbwa kwa ajili ya mwaume , tulia watuondelee upweke
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom