Urusi yajaribu kuwasiliana na Israel kuomba msamaha bila mafanikio baada ya kauli ya Sergie Lavrov dhidi ya Wayahudi

Annunaki

JF-Expert Member
Dec 30, 2021
1,740
2,758
Hayo yamesemwa na msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa Urusi Maria Zakharova huku akiweka wazi pia kuwa mamluki wa Israeli wanapigana bega kwa bega na Azov nchini Ukraine.

“Bado, nitasema kitu fulani ambacho wanasiasa wenyewe nchini Israeli ambao sasa wanachangia kampeni hawatataka kukisikia. Au labda watataka kuyasikia. Nchini Ukraine, mamluki wa Israeli wako bega kwa bega na wanamgambo wa Azov,” alisema Waziri wa mambo yan je wa Urusi Bi Maria Zakharova

“Niliona video, muundo,na nyenzo,” Zakharova alisisitiza.

Azov ni kikosi cha wanamgambo kilichoundwa kama jeshi la kujitolea tangu mwezi Mei 2014, na kimekuwa kikipigana dhidi ya vikosi vya Urusi katika jimbo la Donbas nchini Ukraine. Kwanza kilishuhudia mapigano yaliyopelekea kukamatwa tena kwa Mauripol kutoka mikononi mwa wanajeshi wa Urusi na wapiganaji wanaotaka kujitenga wanaoungwa mkono na Urusi mwezi Juni mwaka 2014.

Pia amesema kuwa mazungumzo kuhusu chuki dhidi ya Wayahudi, ambayo yalianzishwa baada ya Sergei Lavrov kutoa matamshi makali sio "upendeleo", bali "ni ya kupotosha ukweli " wa matatizo halisi, alisema msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Urusi Maria Zakharova.

"Uache kuyaita 'ya upendeleo'. Kuna neno zuri la kibinadamu – Ubaya ," Zakharova alisema.

Zakharova alisema kwamba Urusi ilijaribu "kuwasiliana na Israeli kujaribu kufafanua, kuomba aina fulani ya huruma na uelewa wa tatizo ." Hatahivyo, kulingana na Zakharova, majaribio haya hayakufanikiwa.

Je Wayahudi kumuondoa Putin Kremlin? Tusubiri tuone.

Huyu ndiye Maria Zakharova aliyetoa kauli hiyo leo hii
Screenshot_20220504-171826_1.jpg
 
mohamedidrisa789

JF-Expert Member
Jun 20, 2015
4,013
13,121
Hakuna taifa kubwa kwa hapa Duniani kama Urusi.hakuna wa kumuondoa Putin zaidi ya Mungu pekee aliyemuumba.napata mashaka kwa matamshi ya mkremlin maana katika mataifa ambayo uwa ayapendi kuingilia mambo ya nchi chingine ni pamoja na Israel
 
Kabwe Katali

JF-Expert Member
Dec 8, 2021
448
825
Hayo yamesemwa na msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa Urusi Maria Zakharova huku akiweka wazi pia kuwa mamluki wa Israeli wanapigana bega kwa bega na Azov nchini Ukraine.

“Bado, nitasema kitu fulani ambacho wanasiasa wenyewe nchini Israeli ambao sasa wanachangia kampeni hawatataka kukisikia. Au labda watataka kuyasikia. Nchini Ukraine, mamluki wa Israeli wako bega kwa bega na wanamgambo wa Azov,” alisema Waziri wa mambo yan je wa Urusi Bi Maria Zakharova

“Niliona video, muundo,na nyenzo,” Zakharova alisisitiza.

Azov ni kikosi cha wanamgambo kilichoundwa kama jeshi la kujitolea tangu mwezi Mei 2014, na kimekuwa kikipigana dhidi ya vikosi vya Urusi katika jimbo la Donbas nchini Ukraine. Kwanza kilishuhudia mapigano yaliyopelekea kukamatwa tena kwa Mauripol kutoka mikononi mwa wanajeshi wa Urusi na wapiganaji wanaotaka kujitenga wanaoungwa mkono na Urusi mwezi Juni mwaka 2014.

Pia amesema kuwa mazungumzo kuhusu chuki dhidi ya Wayahudi, ambayo yalianzishwa baada ya Sergei Lavrov kutoa matamshi makali sio "upendeleo", bali "ni ya kupotosha ukweli " wa matatizo halisi, alisema msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Urusi Maria Zakharova.

"Uache kuyaita 'ya upendeleo'. Kuna neno zuri la kibinadamu – Ubaya ," Zakharova alisema.

Zakharova alisema kwamba Urusi ilijaribu "kuwasiliana na Israeli kujaribu kufafanua, kuomba aina fulani ya huruma na uelewa wa tatizo ." Hatahivyo, kulingana na Zakharova, majaribio haya hayakufanikiwa.

Je Wayahudi kumuondoa Putin Kremlin? Tusubiri tuone.

Huyu ndiye Maria Zakharova aliyetoa kauli hiyo leo hii View attachment 2211475
Wapambane kwanza na hizbollah ndio waende kwa Putin.
 
Sol de Mayo

JF-Expert Member
Sep 10, 2016
4,891
4,296
Jiandae tu kisaikolojia

Goliathi Putin anaondoka

Mkuu,,umezidi sasa, punguza au acha kabisa hayo mahaba. Au unawatumikia wazungu/mayahudi?? Kuna mshkaji mmoja anafanya kazi za ndani kwa myahudi hapa bongo, pamoja na kuwahudumia MBWA kama kuwapikia na kuwaosha vile vile. Au ndio wewe mkuu??
 
8 Reactions
Reply
Top Bottom