Swali fikirishi kwa pro Russia

witzone2

JF-Expert Member
Jan 14, 2022
780
1,633
Je, Russia ana uwezo wa kiwawekea vikwazo NATO na USA kama walivyomuwekea yeye?

Je, kati ya Russia na NATO na USA nani anamhitaji mwingne kimaslahi zaidi.

Je, Russia ana uwezo wa kuwapiga ban ya gesi, mafuta na mbolea ya kutokuwauzia kabisa NATO na USA?

Jeuri hiyo anayo?
 
Wengi uku mnasikia Tu vikwazo wanavyotoa Western Ila ata RUSSIA kawwka vikwazo kwao alafu wala Hana kelele unaambiwa ndege nyingi za makampuni ya western zimeshikiliwa Rusia wala Hana kelele kama western pesa na Mali zao nyingi zimetiwa tanji wala Hana kelele Leo wameweka vikwazo vya mafuta Ila wamewaachia Slovakia na Bulgaria wanunue mafuta ili wao wayanunue Kwa bulgaria kama walichofanya Kwa Poland kwenye gesi Rusia Hana kelele yeye anakutizama Tu weka vikwazo yeye kimoja mnalia ulaya nzima
 
Acha Nato na Marekani, dunia nzima inalalamika kutokana na yeye now, Dunia inalia hali mbaya ya kiuchumi inasema sababu ni Urusi, Nigeria sasaivi kuna makampuni mengi yamesirisha safari zake kutokana na uhaba wa wese
 
Kwamba ww unajua zaidi kuliko Hungary au Ujerumani? EU iko hoi now sasaivi wanataka kumgeuka Marekani
Ujerumani ishatangaza mara nyingi sana kwamba itapunguza kutegemea urussi kwa mafuta, sasa kwanini Putin asiwasaidie kwa kufunga mifereji, tunarudi pale pale kwamba bosi hagomewi.
 
Ujerumani ishatangaza mara nyingi sana kwamba itapunguza kutegemea urussi kwa mafuta, sasa kwanini Putin asiwasaidie kwa kufunga mifereji, tunarudi pale pale kwamba bosi hagomewi.
Imetangaza haimaanishi kwamba itasimamisha kwa sasaivi haiwezekani, unajua kuwa Ujerumani ina viwanda vingi vinavyotegemea mafuta ya Mrusi, wakisimamisha leo wajerumani wangapi watakosa ajira ? Si kwa sasaivi labda 14yrs mbeleni
 
Je, Russia ana uwezo wa kiwawekea vikwazo NATO na USA kama walivyomuwekea yeye?

Je, kati ya Russia na NATO na USA nani anamhitaji mwingne kimaslahi zaidi.

Je, Russia ana uwezo wa kuwapiga ban ya gesi, mafuta na mbolea ya kutokuwauzia kabisa NATO na USA?

Jeuri hiyo anayo?
Russia hana shida na kuwapiga bani! Ila wao ndiyo wanahangaika kupiga bani mafuta na gesi kutoka Russia lakini imewawia vigumu kufanya hivyo!
 
Je, Russia ana uwezo wa kiwawekea vikwazo NATO na USA kama walivyomuwekea yeye?

Je, kati ya Russia na NATO na USA nani anamhitaji mwingne kimaslahi zaidi.

Je, Russia ana uwezo wa kuwapiga ban ya gesi, mafuta na mbolea ya kutokuwauzia kabisa NATO na USA?

Jeuri hiyo anayo?
kati ya Russia na NATO na USA nani anamhitaji mwingne kimaslahi zaidi.
NATO na USA wanamhitaji zaidi Russia.
 
Imetangaza haimaanishi kwamba itasimamisha kwa sasaivi haiwezekani, unajua kuwa Ujerumani ina viwanda vingi vinavyotegemea mafuta ya Mrusi, wakisimamisha leo wajerumani wangapi watakosa ajira ? Si kwa sasaivi labda 14yrs mbeleni
Wajerumani wako serious, tayari washafutilia mbali mkataba wa kujenga mfereji mwengine na urussi kwa jina 'Nord stream 2'
 
kati ya Russia na NATO na USA nani anamhitaji mwingne kimaslahi zaidi.
NATO na USA wanamhitaji zaidi Russia.
Wateja wa Russia wanamfanyia fujo kubwa tu. Si akatae asiwauzie tu. Na kwenye Biashara ukikuta una mteja mkorofi na ni msumbufu. Si unamwacha tu.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Mleta mada kwanza unajua maana ya vikwazo?

Nina wasiwasi na akili yako juu ya uelewa wa neno vikwazo, maana kama ungekuwa unalielewa na unafuatilia kinachoendelea wala usingeumiza akili yako na kumpoteza muda kuja kuuliza swali kama hilo.
Nakupa tu baadhi ya vikwazo walivyowekewa hao USA na NATO/EU;

"RUSSIA KASHIKILIA NDEGE ZAIDI 400 ZA EU"

"RUSSIA KAZIKATIA MAFUTA NA GESI NCHI MBILI WANACHAMA WA NATO"

"RUSSIA KAWAWEKEA VIKWAZO BAADHI YA VIONGOZI WA KISIASA WA UK, USA NA POLAND KUINGIA NCHINI MWAKE"

"RUSSIA KASHIKILIA AKIBA YA NCHI ZA EU YENYE THAMAN YA ZAIDI $500B"

"RUSSIA YAFUNGA ANGA LAKE KWA NCHI ZISIZO RAFIKI"

Naomba kuishia hapo, maana sifa ya wasoviet huwa hawaongei sana bali action tu.
ukitaka kuelewa, usipotaka sawa endelea kukaza fuvu, japo hutabadilisha ukweli wa Russia kuwashika pabaya hao NATO na USA.
 
Back
Top Bottom