Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,084
Mchekeshaji wa prank, Elvis Mushila, anaripotiwa kupigwa vibaya baada ya kufanya prank kwa watu wasio sahihi. 😳
Elvis alijeruhiwa vibaya, hadi uso wake kuharibika (dislocated) kutokana na kipigo hicho.
Wale wakibongo waone kilichomtokea mwenzao hapa