Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Vikosi vya ulinzi wa anga vya Saudi Arabia vimesema nchi hiyo imezuiwa droni ya Wahouthi karibu na Makka. Vikosi hivyo vya ulinzi wa anga vya Saudi Arabia vimesema viliizuia na kuiharibu droni...
0 Reactions
2 Replies
56 Views
  • Redirect
https://www.jamiiforums.com/threads/jinsi-zimwi-la-mapenzi-kinyume-na-maumbile-linavyo-act-kila-hatua-ya-maisha-yako.2471406/
1 Reactions
– Replies
– Views
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissi imeahirishwa mpaka ljumaa September 18, 2026 . Ambapo shahidi mmoja wa mshtakiwa DCI Ramadhan Kingai kutarajiwa kuanza kutoa ushahidi...
2 Reactions
2 Replies
144 Views
Hakuna kilichokuwa promised kwetu wanaume, kila siku ni challenge mpya ya kutaka kuushinda uchungu na mateso kila siku ni presha mpya, kila siku ni vita mpya, kila siku mpya ni upinzani mpya.
5 Reactions
30 Replies
562 Views
MKUU wa Majeshi mstaafu nchini Tanzania, Jenerali David Musuguri maarufu โ€˜Chakazaโ€™ au Mtukula, ametimiza umri wa karne moja (miaka 100) tangu alipozaliwa Januari 4, 1920. Hafla ya kuadhimisha...
31 Reactions
179 Replies
37K Views
Muandaaji na muigizaji maarufu wa filamu nchini Marekani, Tyler Perry amenukuliwa akisema kwamba "hatakuja kuoa maana anaamini ndoa ni utapeli" Ninacho ogopa siyo ndoa, bali ni talaka ambapo...
3 Reactions
24 Replies
403 Views
Mitandaoni huko, Kuna tukio lilisambaa likimionesha jamaa, akiingia kwenye duka la nguo na kubeba simu, hakukuwa na mtu wao wanavo dai walikua store. Ebhanaeee kama kawa CCTV camera ikamchora tu...
4 Reactions
1 Replies
99 Views
Leo Trh 6 SEPT 26 TANESCO WAMEENDELEA KUKATA UMEME NGERENGERE BILA TAARIFA YOYOTE.LICHA TA KKUFUNGULIWA BWAWA LA UMEME LA JULIUS NYERERE NGERENGERE IMEENDELEA KUSOTA NA UMEME KIDOG KWA SIKU...
1 Reactions
2 Replies
389 Views
Gari ya tax mtandao haiwezi kupata kibali cha LATRA mpaka ikakaguliwe na police na utaweza kupataLATRA na zoezi hili hufanyika kila mwaka kibali kinapoisha. Na ukiachilia hilo mwezi ulioisha wa...
1 Reactions
3 Replies
62 Views
Dogo ameomba kusomea stashahada ya mionzi mwezi June alifanikiwa kuchaguliwa Mbeya college . jana ameingia cas amekuta vitu tofauti hakuna tena admission status kuna hio taarifa Sasa ameshindwa...
2 Reactions
0 Replies
49 Views
britanicca na Ex Spy nikweli mnamshikilia huyu mzee kwa kinachosemwa kuwa kula njama za kumpindua mama yetu kipenzi?
8 Reactions
26 Replies
696 Views
Kilwa Masoko Yakamilisha Bandari ya Kwanza ya Uvuvi Tanzania kwa 100% Ujenzi wa Bandari ya Uvuvi ya Kilwa Masoko umekamilika kwa asilimia 100%, ikiwa ni bandari ya kwanza ya uvuvi nchini. Mradi...
1 Reactions
1 Replies
41 Views
Imekuwa ni kawaida kusikia kuwa flani ana pesa za kichawi ..... Swali langu je ni kweri hizo pesa zipo????? Na kama zipo zina mwingiliano gani na pesa halali ?
0 Reactions
42 Replies
9K Views
MOSHI, KILIMANJARO Mkoa wa Kilimanjaro umejiunga na mikoa mingine inayotoa huduma za ardhi kwa wananchi kwa njia ya kidijiti kupitia mfumo wa e-Ardhi ambao unarahisisha na kuharakisha huduma za...
0 Reactions
1 Replies
30 Views
Rose Emanuel(75) mkazi wa Madale, Kata ya Wazo, Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam ambaye amekuwa akilala nje ya makazi yake kwa siku 12 tangu Septemba 3 baada ya nyumba yake pamoja na...
4 Reactions
5 Replies
144 Views
Ogopa MATAPELI sijasaini LABEL yeyote nipo kwenye Label yangu ambayo taitambulisha hivi karibuni 7 october. Hii ndo siku inshaallah taweka wazi, picha ya MSANII, jina la msanii, na jina la label...
1 Reactions
27 Replies
118 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ