Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 2,933
- 5,516
Dogo ameomba kusomea stashahada ya mionzi mwezi June alifanikiwa kuchaguliwa Mbeya college .
jana ameingia cas amekuta vitu tofauti hakuna tena admission status kuna hio taarifa
Sasa ameshindwa kuelewa inakuaje admission status haipo tena
Hapo shida itakuwa wapi?
jana ameingia cas amekuta vitu tofauti hakuna tena admission status kuna hio taarifa
Sasa ameshindwa kuelewa inakuaje admission status haipo tena
Hapo shida itakuwa wapi?