Ukitaka ufanikiwe haraka mtaji ni mmoja tu- Wajinga

Youngblood

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
18,954
55,048
Biashara zote hizi ukifanya guarantee ya kutoboa ni 100%, maana resource inayohitajika ni moja tu---WAJINGA.

Kwa bahati nzuri wajinga hawaishi na kila siku wanazaliwa wengine, kitu kizuri zaidi Wajinga wanatabia ya kurithishana ujinga,na kuulinda kwa nguvu zote.

Mfano wa biashara zilizofanikiwa kwa kutumia mtaji huu ni kama.

1. Manabii wa uongo,mfano,mwamposa,gwajima,yule wa kenya McKenzie ameuwa wajinga Zaidi ya 70 mpka sasa

2. Wanasiasa,mtaji wa wanasiasa ni kundi kubwa la wajinga

3. Dini,zote zinategemea wajinga kujiendesha,na kwakuwa wamejazwa imani ya kijinga, ukiwaelekeza wnakuona wewe ndio mjinga.

4. Kubeti- vijana na wazee, hapa huwaambii kitu,wajinga wengi wanategemea kutoba kwa kubeti, ndio maana kampuni za kubeti zimekuwa nyingi kama nzi

5. Michezo ya upatu,Mr kuku farm,kilimo cha vanilla,Q net,forever living, kyalinda,Dec, Jatu plc hapa hakuna haja ya maelezo mengi,wajinga kila siku wanapigwa na hawakomi

~Wajinga hawawezi kutofautisha kitu cha kweli,uongo,au uzushi,wao wanaamini kile wanachoambiwa,wanachoaminishwa, au wanachotaka kusikia tu.~
 
Umesahau Kuna makanisa wajinga wanaenda hata Mchungaji akisema wasile kweli hawali na Kaa na njaa mpaka kifo Kisha wanazikwa maisha yanaendelea .Hakika wajinga ni wengi!! Huko Kenya wamefika 50 waliokufa na njaa ili waende mbinguni
Kuna wale sabato masalia walienda airport wanataka waende Marekani bila nyaraka sahihi,kuna wafuasi wa kibwetere, ukiwaelekeza unaonekana umeingiwa na pepo.
 
Dini,zote zinategemea wajinga kujiendesha,na kwakuwa wamejazwa imani ya kijinga, ukiwaelekeza wnakuona wewe ndio mjinga.
Ni kweli dini zinategemea imani. Na imani ni kitu chenye nguvu sana. Leo hii kuna binadamu wanawaamini binadamu wenzao pengine kuliko hata wanavyomuamini aliyewaumba!
Ni hatari sana!

Bila kusahau waganga wa jadi! Ambao baadhi yao wanaingiza imani zao kwa kutumia dini.

Binafsi huyo jamaa wa kenya, kwenye picha nimehosi ana matatizo ya akili. Waamini wawe makini. Kuna watu wana magonjwa ya akili!
 
Mkuu kwank yule jamaa wa kenya alikuwa na kanisa muda mrefu au alikuwa anahubiri tu mitaani?
 
Mie hata sina habari zake zaidi ya hilo tukio. Ila nimemzoom kwenye hii picha nikahisi hayuko sawa.
20230424_231437.jpg
 
Umesahau Kuna makanisa wajinga wanaenda hata Mchungaji akisema wasile kweli hawali na Kaa na njaa mpaka kifo Kisha wanazikwa maisha yanaendelea .Hakika wajinga ni wengi!! Huko Kenya wamefika 50 waliokufa na njaa ili waende mbinguni
Ongeza wale wajinga 700 walijitia kiberiti kanisani March 17 mwaka 2000.
 
Ila wakristo wanajifanya wanaijua dini mpaka wanakuwa mambumbu
Kibwetele aliwachoma moto
Jamaa kawaambia wafunge halafu wamekubali kawapiga moto kweli wakristo wapewe maua yao.
Si wakristo pekee hata dini nyingine.
Wapo wanaojitoa mhanga kwa ajili ya kulinda imani. Wapo wanalala njaa kwa ajili ya imani. Wapo wanaovaa mavazi ya aina fulani hata kama hawapendi ila tu wanalinda imani.

Imani ina nguvu kuliko unavyofikiria. Pasipo kutumia akili/maarifa watu wengi huangamizwa.

Kuna watu hawafanyi maamuzi yao binafsi hadi wamshirikishe kiongozi wa dini na atakachoambiwa ndicho atakachofanya.

Kumbuka hata Abraham alitaka kumtoa mtoto wake kafara kwasababu ya imani. Unadhani ingekuwa zama za leo, watu wangemchukuliaje?
 
Si wakristo pekee hata dini nyingine.
Wapo wanaojitoa mhanga kwa ajili ya kulinda imani. Wapo wanalala njaa kwa ajili ya imani. Wapo wanaovaa mavazi ya aina fulani hata kama hawapendi ila tu wanalinda imani.

Imani ina nguvu kuliko unavyofikiria. Pasipo kutumia akili/maatifa watu wengi huangamizwa.

Kuna watu hawafanyi maamuzi yao binafsi hadi wamshirikishe kiongozi wa dini na atakachoambiwa ndicho atakachofanya.

Kumbuka hata Abraham alitaka kumtoa mtoto wake kafara kwasababu ya imani. Unadhani ingekuwa zama za leo, watu wangemchukuliaje?
Ila wakristo wamezidi kwa kweli
Hebu angalia makanisa yalivyo kila sehemu
Na wanapata waumini kibao kwa kudanganywa

Hivi kweli unawezaje kumuamini mtu anakuambia anampigia simu mungu tena live kila siku na anajifanya kuwasikilizisha waumini na wanakubali na mchango wanatoa sadaka za uhakika

Jamani hebu muache upumbavu huu
Screenshot_20230424_213546_Instagram.jpg
 
Biashara zote hizi ukifanya guarantee ya kutoboa ni 100%,mana resources inayohitajika ni moja tu.... WAJINGA.
Kwa bahati nzuri wajinga hawaishi na kila siku wanazaliwa wengine,kitu kizuri zaidi Wajinga wanatabia ya kurithishana ujinga,na kuulinda kwa nguvu zote.

Mfano wa biashara zilizofanikiwa kwa kutumia mtaji huu ni kama.

Manabii wa uongo,mfano,mwamposa,gwajima,yule wa kenya McKenzie ameuwa wajinga 48.

Wanasiasa,mtaji wa wanasiasa ni kundi kubwa la wajinga

Dini,zote zinategemea wajinga kujiendesha,na kwakuwa wamejazwa imani ya kijinga, ukiwaelekeza wnakuona wewe ndio mjinga.

Kubeti,vijana, na wazee, hapa huwaambii kitu,wajinga wengi wanategemea kutoba kwa kubeti.... ndio maana kampuni za kubeti zimekuwa nyingi kama nzi

Michezo ya upatu,mr kuku farm,kilimo cha vanilla,Q net,forever living, kyalinda,Dec, Jatu plc hapa hakuna haja ya maelezo mengi,wajinga kila siku wanapigwa na hawakomi

Wajinga hawawezi kutofautisha kitu cha kweli,uongo,au uzushi,wao wanaamini kile wanachoambiwa,wanachoamini na au wanachotaka kusikia.
Ni ukweli usiopingika. Biashara nyingine ni shule na madrasat. Wengine wanaweza kuongeza.
 
Ujinga na umasikini ndio mtaji wa ccm.
 
Back
Top Bottom