Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimewasha mpaka VPN wapi, vipi kuna hitilafu kwenye mtandao wa x?
3 Reactions
15 Replies
513 Views
Katika Agano Jipya: 1. Maneno ya Yesu: - Yanakadiriwa kuwa asilimia 18-20 ya Agano Jipya yote (kutegemea tafsiri na muundo wa Biblia). Haya yanapatikana zaidi kwenye Injili Nne (Mathayo, Marko...
4 Reactions
23 Replies
822 Views
Na Mwandishi Wetu. Dar es Salaam, Aprili 1, 2026 — Exim Bank Tanzania imeingia ubia wa kimkakati na The Voice TZ kwa lengo la kuhamasisha matumizi ya malipo ya kidijitali na kupunguza utegemezi...
3 Reactions
2 Replies
131 Views
Dar es Salaam — Kampuni ya michezo ya kubashiri ya PigaBet imetangaza rasmi kuingia mkataba wa udhamini na klabu ya Fountain Gate FC wenye thamani ya Shilingi bilioni 1, hatua inayotarajiwa...
1 Reactions
2 Replies
184 Views
Jinsi ya kutengeza utajiri wa familia. Utajiri ni hali ya kuwa na uhuru wa kifedha katika maisha. Ni muhimu kutambua kabla ya kutafuta utajiri mtafute Mungu kwanza maana yeye atakupa...
3 Reactions
3 Replies
382 Views
Mathayo 12:18 Tazama, mtumishi wangu niliyemteua; Mpendwa wangu, moyo wangu uliyependezwa naye; Nitatia roho yangu juu yake, Naye atawatangazia Mataifa hukumu. Mungu akikuchagua kuhubiri neno...
2 Reactions
2 Replies
211 Views
Mazungumzo ya wachungaji, mashehe, wanasiasa ni kana kwamba mwanaume kukoswa pesa ni jambo la kujitakia na uzembe. Mtu wa namna hii hupuuzwa na kushambuliwa kama ni mvivu hata kama ni kipindi cha...
7 Reactions
7 Replies
242 Views
Hiyo nafasi nilio acha hapo juu nitakuja kusalimia nikimaliza kuandika...☹️ 1. Ukikosa maamuzi kwa mkeo ndani ya nyumba, basi umefeli. 2. Ukishindwa kumdhibiti mkeo kwa lolote, basi tambua wewe...
9 Reactions
24 Replies
474 Views
Binadamu ni kiumbe mchoyo sana. Kesho tarehe moja April 2026 chombo chenye nguvu cha shirika la anga za juu Marekani NASA Artemis 2 kitaipeleka Orion capsule kuizunguka mwezi na kurudi duniani...
8 Reactions
26 Replies
767 Views
  • Redirect
Benki ya Dunia imeidhinisha fedha za dola milioni 550 kwa ajili ya Tanzania ili kuimarisha ajira na kusaidia kaya zilizo hatarini. Fedha hizi zitawanufaisha zaidi ya watu milioni tatu kupitia...
2 Reactions
– Replies
– Views
Benki ya Dunia imejitolea kutoa kiasi cha dola milioni 550 kusaidia jitihada za upatikanaji wa ajira na usaidizi wa kijamii nchini Tanzania. Benki ya Dunia imemidhinisha ufadhili mpya wa dola...
2 Reactions
18 Replies
516 Views
Kipekee nipende kuwapongeza TANESCO upande wa huduma kwa wateja wako vizuri sana kuliko taasisi yoyote ile ya serikali (nadhani) wanapokea simu faster sana na kurespond. kama fire wangekuwa...
4 Reactions
7 Replies
654 Views
Pipa moja la mafuta ghafi linauzwa $70 hadi $90 linakua na ujazo wa lita 159. ukienda kusafisha crude oil unapata petrol, diesel, kerosine, gas na lami. hivi vitu vyote ukivipima ujazo wake...
1 Reactions
12 Replies
350 Views
FAHAMU KUHUSU HATI YA KUBADILI JINA (DEED POLL) 0747131430 HASA KWA VIJANA WENZANGU MLIOOMBA KAZI SERIKALI. KABLA YA INTERVIEW SHUGHULIKIA MAJINA YAKO YAWE SAWA. WENGI WANAKATALIWA KUFANYA...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Imepita muda huyu bwan mdogo hajinipea chchote wala kuchanagia chochot yey Yuko busy na kaz na maujenzi yake ila Leo bin fuu tumejikuta tuko mkoa mmoja na yye Yuko likizo hapn mkoni .... Kwamba...
1 Reactions
1 Replies
102 Views
Baada ya ndege ya Marekani F-15E kudunguliwa na Iran, na rubani na mtaalam wa silaha kutoka ndani ya ndege kabla haijadondoka chini, pande zote mbili, Iran na Marekani zilianza kuwasaka manusura...
5 Reactions
8 Replies
395 Views
Naangalia aerial view ya Mbezi Beach naona pamepangiliwa vizuri Kilichobaki ni Kuweka barabara za lami mitaani kote Kuweka taa za barabarani Kuweka closed drainage system Kila mtaa Tanzania...
4 Reactions
24 Replies
503 Views
Leo nimekaa nikawaza huenda kuna watu wapo in charge badala ya Samia Inawezekana kuna familia kadhaa zinakula hela za nchi hii na kurithishana huku wanamtumia Samia kama kivuli kuficha ufisadi...
10 Reactions
31 Replies
786 Views
Back
Top Bottom