Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Try Again Again Again Again Again Again Again Until you make it..💪💪
0 Reactions
1 Replies
19 Views
Yes nimejiona mjinga, nimeenda manyoni hapo kwenye mnada wa mbuzi nilichokiona mbuzi walikua bei juu sana, mbuzi mdogo sana alianza bei ya 70,000/= mpaka 300,000/= nimeshangaa kweli, kwasababu...
9 Reactions
13 Replies
256 Views
Hatuna jeshi, jeshi linatumika kisiasa. Sifa kubwa ya mwanajeshi ni uzalendo na vijana wanapelekwa jeshini kujifunza uzalendo wa nchi na si uzalendo wa mtu fulani au chama fulani. Siku hizi...
1 Reactions
3 Replies
70 Views
Anonymous
Tunaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu changamoto ya kushindwa kupata huduma kupitia mfumo wa Madini Portal, hali ambayo imekuwa ikisababisha usumbufu na hasara kwa waombaji na wadau wa sekta ya...
0 Reactions
0 Replies
22 Views
USIKU HUU NIMEKAA KIMYA, LAKINI NDANI NINA KELELE NYINGI SANA. Sina mzuka wa kitu chochote leo. Hata jambo la kawaida kabisa kama kupata chakula cha usiku limekuwa jambo kubwa kwangu. Nimekaa tu...
7 Reactions
31 Replies
248 Views
Ni tafsiri isiyo rasmi ya mduara/ mzunguko wa milele Tunaambiwa na kuaminishwa kwamba hakuna kinachodumu milele lakini ni sahihi kabisa... Lakini kuna mwendelezo katika hilo kuna maelezo ya ziada...
27 Reactions
76 Replies
10K Views
Huu ni mwendelezo tu wa kile tumekuwa tukikijadili hapa jamvini kuhusu hayo mambo mawili, reincarnation -kuzaliwa tena katika umbo lingine na rebirth -kuzaliwa upya kiroho Reincarnation na rebirth...
10 Reactions
151 Replies
22K Views
Wakuu situation imenikuta kua nimekuwa kiongozi wa watu ambao ni watu wenye umri kunizidi. Yani katika watu 10 mimi nimechaguliwa kuwaongoza na ndio mdogo wa wote. Mimi niko early 30s ila kwenye...
14 Reactions
94 Replies
863 Views
Ni kama bei ilishafika au walipenyezwa ndio wameshika JF. underdog hii code nimeona kitu hapa JF.
1 Reactions
2 Replies
36 Views
Kuna siku moja ambayo kila mwanadamu duniani ataamka na kugundua kuwa safari yake imefika mwisho. Siku hiyo haitajali una pesa kiasi gani. Haitajali una magari mangapi. Haitajali una nyumba...
4 Reactions
17 Replies
234 Views
Mwenye kiti wa mtaa alitaka kuwapa ujumbe wananchi kuhusu usalama wa Kijiji ndipo padre alipo zuia nakudai hapa ni mahali pa ibada sio mengine, ila mwenye kiti akakazaa kifatacho mikono ikatembea...
10 Reactions
43 Replies
647 Views
Humu kuna wahenga wa JF katika majukwaa mbali mbali yani kila uzi wachangiaji ni wao na kazi yao kubwa ni kuji-update kwa kubadili Id's lakini wapo humu JF toka inaitwa jambo forum huko Hao ndio...
2 Reactions
1 Replies
45 Views
Kila kona ya mtaa kuna matangazo ya waganga. Je, ni utamaduni au biashara ya kihuni?
0 Reactions
12 Replies
74 Views
MWANAUME ANAYESEMA WANAWAKE NI WABAYA NI YULE ALIYESALITI AKILI YAKE. YAANI AMBAYE HAKUTUMIA AKILI YAKE VIZURI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Silaha namba moja ya mwanaume ni Akili. Kwa...
3 Reactions
63 Replies
365 Views
Wakuu habari za wakati huu Kuna member fulani tulifahamiana kupitia JF, Bahati mbaya Mimi ndo niliweka namba yangu kwenye moja ya thread ya member wa humu JF aliyowahi kupost... Wasifu wake yeye...
7 Reactions
19 Replies
364 Views
Na Hatibu Shemnyama, Hisia za kielektroniki ni hisia dhahania zinazojitengeneza katika fikra za mtu kupitia maandishi na taswira zinazoonekana kwenye mitandao ya kijamii. Watu wengi wameathiriwa...
1 Reactions
3 Replies
47 Views
Wakulungwa hivi ukitaka kubadili jina JF unabadili wap? Nipeni muongozo nataka niweke jina la kibiashara ili iwe rahisi kupata wateja humu JF.
6 Reactions
12 Replies
100 Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi amezitaka Taasisi na Mashirika ya Umma kupunguza baadhi ya matumizi na kuelekeza fedha katika kuwajengea uzoefu Vijana...
0 Reactions
8 Replies
272 Views
Kulingana na ufaulu wa kidato cha sita kuendelea kupanda na kuwa juu kadri miaka inavyozidi.Ni muda muafaka sasa mamlaka husika zikafanya jitihada za kimakusudi kutanua wigo wa masomo ya kozi za...
2 Reactions
14 Replies
334 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…