Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii (JUMIKITA) imetoa wito kwa vyombo vya habari kutompa ushirikiano Mkurugenzi Mtendaji wa Benchmark Production, Rita Paulsen (Madam Rita), hadi...
Habari Wanajamvi.
Mimi sijambo!
Imekuwa ni Jambo la kawaida kwetu wanaume kushiriki maoni, mawazo yetu, mitazamo yetu.
Kulumbana.
Kurushiana maneno.
Kukejeliana.
Lakini ndio mazungumzo yalivyo...
Dodoma. Tanzania imepewa heshima ya kuwa mwenyeji wa Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP12), unaotarajiwa kufanyika Oktoba 6 hadi 9, 2026, Jijini Dar es Salaam, ukilenga...
Ofisi ya Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Mwanza imetangaza mpango maalum wa kuboresha utoaji huduma za sekta ya ardhi katika Manispaa ya Ilemela jijini Mwanza kufuatia malalamiko yaliyojitokeza...
Jopo la majaji watatu wa Mahakama ya Rufani, limebariki adhabu ya kifo aliyopewa mmoja wa mafundi waliokuwa wanajenga kituo cha kuuza mafuta Jijini Dodoma, Menroof Haule aliyewaua walinzi wawili...
Naanza kuona unapokuwa na uwezo usiwabweteshe sana watoto wakijua na kukariri maisha wanayoishi ni ya kawaida kwa kila mtu, sometimes ni bora kuwaonjesha kidogo maisha ya chini kwa uangalizi, yani...
Salaam,
Yaani watu Mikoani wanajua maisha ya Dar ni sawa na walikotoka.
Ndugu anakupigia simu Jumatano saa tano asubuhi. Anakuambia ukamuone kafikia Tegeta, hapo wewe unaishi Gongo la mboto...
Kufuatia ajali ya vijana wawili wenye Subari Pichani wakishindana na Crown , sasa ni rasmi “bodaboda akili zao ni sawa kabisa na vijana wa Subaru/Crown”
Ajali imetokea Morogoro, wakipiga ligi na...
Hii pesa ya Kuwait. Miongoni mwa pesa zenye thamani kubwa sana.
Hii ni Dinar 1000 ya KUWAIT sawa na pesa ya madafu Milioni 8 na Laki 4.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Nidhamu ndio mafanikio. Hapa JF tuna watu wakubwa sana, viongozi, expert serikalini na wafanya biashara.
Sasa unapoana Mtu ana express hisia zake kuhusu jambo fulani acha dhahaka na matusi...
Siku ya sikukuu ya Idd, watoto waliniomba niwapeleke eneo la kuogelea. Nilishauriana na mke wangu, naye akapendekeza tuwapeleke Jangwani Sea Breeze, kwani ni sehemu iliyo karibu, na pia watoto...
Ndugu wana JF,
Kuna jambo linazidi kuwa kero kwa wasafiri wengi wa mabasi ya mikoani. Ni hii tabia ya makampuni ya bus kusimamisha safari kwenye vituo maalum vya chakula ambavyo bei zake ziko juu...
BIASHARA ZANGU UTOTONI HADI UZEENI
1. Miaka 7 (1993): Kuuza makopo ya soda kwa wanunua screpa
2. Miaka 8 (1994): Kuuza mihogo na visheti vya walimu shule
3. Miaka 9 (1995): Kuuza maandazi ya...
Hakuna haja ya kuwachukulia sheria mkononi au hakuna haja ya kuwapeleka mbele ya sheria
Hawa wanafaa kusimangwa
Hawa wanafaa kusemwa
Hawa wanafaa kusutwa
Kule kwetu ukiikosea hatukupeleki kwa...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa kushirikiana na Shirika la Zanzibar Fighting Against Youth Challenge Organization (ZAFAYCO), leo April 20, 2026 wanazindua rasmi ripoti ya Haki za...
Nabii feki Uegbert Angel toka Zimbabwe amedai mbele ya misukule inayomwabudu kuwa kifo cha Rais mstaafu wa Zambia Hayati Edgar Chagwa Lungu kimesababishwa na yeye kuzuiliwa kuingia nchini Zambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.