Tuacheni dhihaka na matusi

Tuacheni dhihaka na matusi

Nidhamu ndio mafanikio. Hapa JF tuna watu wakubwa sana, viongozi, expert serikalini na wafanya biashara.

Sasa unapoana Mtu ana express hisia zake kuhusu jambo fulani acha dhahaka na matusi.

Alafu JF ina julikana kama home of great thinkers, kutumia JF mtaani unaheshimika sana.
Oya wee kenge unakera. Peleka huko hisia zako kwenye vijiwe vyenu vya umbea.

adriz de mbusii
 
Back
Top Bottom