eti huwa nasikia masai huwa wanang`oana meno makusudi kwa sababu kuu mbili,kwanza ni kama urembo na ujasiri wa kung`olewa jino bila ganzi,na pili huwasaidia pindi akiwa mahututi hawezi...
Ebwana uzazi Nazi.Sasa hivi hawa vijana wangu wanavyonitesa ndio naendelea kuwapa heshima wazazi wangu juu ya uvumilivu wao nlipokua nalilia nguo za sikukuu bila kujali wapo kwenye Hali gani na...
Ni lazima kukaa kwenye mkeka au chini wakati wa kufuturu? Hayo ni mafundisho au ni mila tu yakawaida
Napata taabu kuona baadhi ya watu hujilamisha kukaa wakati wengine wakiwa hawajiwezi
Nawasilisha
Tuachane na mijadala ya mimba za watoto wa shule, ambao kimsingi wanabakwa! Tucheue mijadala kama hii kwa ustawi wa ufahamu wetu na ushiriki wetu kwenye mijadala ya kitaifa!
Baada ya kuachiwa huru siku ya Jumatano na kukamatwa tena, jana aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Baptister Bitaho (54) amehukumiwa kulipa faini ya Sh milioni 13.9...
Wakuu habarini.
Kutokana na sarakasi , habari, matukio na vioja mbalimbali vinavyoendelea duniani hasa hapa kwetu Tanzania, nimekuwa nikitumia muda mwingi sana kufuatilia habari, matukio, mikasa...
Ebhana kuna uchunguzi wa kimya kimya nimeufanya na nimegundua mengi sana kuhusu hizi pesa za wahindi hasahasa kwenye masuala ya mikopo.
Inaweza isiwe ishu saana ila kuna mambo nimejiuliza ambayo...
Please isiwe elimu ya kiganga, uchawi au vitu vya ajabu.
Nnachouliza hapa ni sport, jinsi ya kucheza na akili ya watu pamoja na vifaa, magic and illusion trics.
Kama ananvyofanya David Blane na...
Wanafunzi wa shule ya kimataifa feza walioshinda medali za dhahabu wamewasili jana usiku wakipokelewa na wazaz waho pia na huongozi wa shule hiyo pia mzazi wa Rashid jakaya kikwete mmoja wa...
India. Shirika la ndege la binafsi nchini India limemtunuku safari za bure mtoto aliyezaliwa ndani ya ndege moja ya shirika hilo iliyokuwa safarini kutoka Saudi Arabia kuelekea India.
Mhudumu...
Kama kichwa kinavyosema,natafuta nyumba.
Sitaki madali. Nataka mwenye nyumba tu awasiliane na mimi.
Maeneo: Mbezi,'Mikocheni
Tozo:Laki tano ndio bajeti yetu,itategemea na eneo husika.
Nyumba...
Naombeni kujua, siku hizi kuna kautaratibu wa baadhi ya askari polisi hasa FFU kuvaa vibegi fulani hivi vidogo mgongoni wakiwa katika majukumu yao hata wakiwa lindo kama la benki.
Je vile vibegi...
Mimba za utotoni ni Janga la Taifa. Idadi ya watoto wanaokatisha masomo kwasababu hii inazidi kuongezeka mara dufu. Athari ya janga hili ni zaidi ya hawa mabinti kukosa elimu. Mabinti wetu hawa...
Huyu jamaa alikuwa anajifanya mganga na wala simfahamu kanitumia message ili anivute kwenye utapeli lakini nashangaa kapotea ghafla bado namtafuta hajibu...
Heshima kwenu wakuu,
Jeshi la Polisi Kupitia kwa Lucas Mkondya, limeongea na wanahabari na kusema, Sasa hivi Trafiki wana vipimia kilevi. Tukikukamata umelewa barabarani tunakupeleka kituoni...
Habari za asubuhi wadau kwenye hii siku ya 30 ya mfungo,
Natumia pampu ya maji yenye uwezo wa 1.5kph, ndani ya week moja nikiiwasha inatumia muda mwingi tofauti na zamani kujaza tank lita 2000...