Wanafunzi wa shule ya kimataifa Feza walioshinda medali za dhahabu wamewasili jana usiku

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,245
2,000
Wanafunzi wa shule ya kimataifa feza walioshinda medali za dhahabu wamewasili jana usiku wakipokelewa na wazaz waho pia na huongozi wa shule hiyo pia mzazi wa Rashid jakaya kikwete mmoja wa wanafunz washirik walioshinda medali mh mama salima kikwete akiongea na waandishi wa habari kuwapongeza wanafunzi kwa juhudi kubwa walizo fanya na kuitangaza vyema nchi yetu.

WhatsApp Image 2017-06-23 at 13.41.21.jpeg
WhatsApp Image 2017-06-23 at 13.41.20.jpeg
WhatsApp Image 2017-06-23 at 13.41.19.jpeg
WhatsApp Image 2017-06-23 at 13.41.19 (1).jpeg
WhatsApp Image 2017-06-23 at 13.41.18.jpeg

lukindo

JF-Expert Member
Mar 20, 2010
8,483
2,000
Majiniasi ...bado nakuna kichwa!
Kinachotia moyo ni kwamba katika familia kumbe mmoja anaweza kupata zero alafu mwingine akawa best student sio katika darasa lake bali dunia nzima kujumulisha na wazungu wote, hataree!
 
daudthefarmer

JF-Expert Member
Apr 30, 2016
5,466
2,000
Wanafunzi wa shule ya kimataifa feza walioshinda medali za dhahabu wamewasili jana usiku wakipokelewa na wazaz waho pia na huongozi wa shule hiyo pia mzazi wa Rashid jakaya kikwete mmoja wa wanafunz washirik walioshinda medali mh mama salima kikwete akiongea na waandishi wa habari kuwapongeza wanafunzi kwa juhudi kubwa walizo fanya na kuitangaza vyema nchi yetu.

View attachment 529329 View attachment 529328 View attachment 529326 View attachment 529325 View attachment 529324
Hongera sana kwa watz wenzangu.

Uongozi=huongozi(kwa niaba ya faizafoxy)
 
geek jo

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
1,136
2,000
Sasa huku ni kuringishiana huku.. tuelezeni wameshinda mashindano gani na kwenye nini????? picha picha tu pelekeni instagram huku mwiko!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom