mandella
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,051
- 3,255
Please isiwe elimu ya kiganga, uchawi au vitu vya ajabu.
Nnachouliza hapa ni sport, jinsi ya kucheza na akili ya watu pamoja na vifaa, magic and illusion trics.
Kama ananvyofanya David Blane na yule wa kipindi cha Beyond Magic with GMC.
Nazifahamu baadhi ya Illusion kwa kutumia karata, ila nyingi sijaziweza. natamani kuvuka boder niweze kufanya mengi zaidi. Naifahamu pia moja ya kutumia mvuta sigara kumuwekea majivu anayovuta mkononi.
Mshana jr. Unaweza ukanipa muongozo ila Please isiwe mambo ya kichawi. Please... Please...