Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,581
Wakuu habarini.
Kutokana na sarakasi , habari, matukio na vioja mbalimbali vinavyoendelea duniani hasa hapa kwetu Tanzania, nimekuwa nikitumia muda mwingi sana kufuatilia habari, matukio, mikasa, vitimbwi na sarakasi zinazoendelea kila kukicha. Yaani kuna matukio mengi yanayoibuka kila siku ya Mungu na kusambaa haraka sana kwenye mitandao ya kijamii hasa fb, Instagram, tweeter, WhatsApp, you tube na hapa JF. Nashindwa kujizuia kupitwa. Muda mwingi nataka niwe updated kwa mambo yanayotokea nchini hasa ya kisiasa.
Kuna series za matukio nyingi sana na zinagusa watu potential nchini so inabidi nipakue tu nijue nani kasema nini na wapi. Nikikaa masaa 6 bila kupekua kitu,sijisikii vzr kabisa. Huwa naanza na magazeti then naserereka taratibu fb, insta, tweeter, you tube na baadae namalizia hapa kwetu nyumbani JF.
Kuna wakati wife mpk anagomba yaani ,usiku nachelewa sana kulala na pia kazini nako ufanisi naona unapungua.
Wenzangu mnawezaje kucontrol mood na time ya kufuatilia vitu kwenye social media hasa mitandaoni?
Asanteni.