Pamoja na takwimu za Jeshi la Polisi zinaonyesha kuwa bodaboda zinaongoza kwa kusababisha ajali nchini lakini kumbe pia imefahamika bodaboda zinarahisisha sana michepuko kwa wanandoa na hata...
Mwaka 2005 benki ya CRDB ilizindua akaunti maalum kwa watanzania ambao walikuwa nje ya mipaka ya Tanzania kwa masomo, biashara ajira au pilikapilika zingine.
Akaunti hiyo ilojulikana kama...
Mhe.Waziri kwanza nakusalimu. Awali ya yote kwa heshima na taadhima tunakuomba sana kutukamilishia barabara yetu ya kutoka Mika Mpaka Ruari Port mpakani mwa nchi ya Tanzania na Kenya kwa kiwango...
Dodoma. Serikali imesema fao la kujitoa halipo,badala yake imekuja na fao la bima ya afya.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bungena Vijana), Jenista Mhagama alisema hayo bungeni
jana...
Huduma ya Mobile Number Portability itaanza rasmi Tar 01 March 2017.Huduma hii itakuwezehsa kuhamia mtandao wowote ule bila kubadilisha namba yako:
NB:Huu ndo muda wa makampuni ya simu kuboresha...
Nimeingiwa na wasiwasi kuwa huenda sasa baada ya miaka 20 ya watumishi kuzoea kulipwa mshahara kati ya tarehe 22 na 25 ya kila mwezi,sasa itaanza kuchelewa baada ya jukumu hilo kupewa watu wa...
Kuna tabia kwa baadhi yetu hupenda kupunguza hewa chafu (kujamba) mbele za watu aidha muwapo safarini kwenye basi au daladala.
Kwa maksudi kabisa mtu anaamua kujamba kimyakimya (smoothly) au kwa...
Uwiano wa vijana kutoka familia zenye mazingira magumu ambao hawaendelei na masomo baada ya mwaka wao wa kwanza umefikia ngazi ya juu kwa miaka mitano, inasema ofisi ya Fair Access.
Takwimu...
HOSPITALI ZA KUTOA MIMBA
Kosa kubwa linalofanywa na viongozi wa upinzani ni kuiga wanayoyataka (sio yote) ya Marekani na kutaka kuyaleta Tanzania bila ya kuangalia sheria na mazingira ya...
Habari wanajamvi...
Tuliozaliwa miaka hiyo tunajua zamani ilikuwa adimu sana..lakini sasa hivi karibu kila nyumba choo kipo ndani, ubaya zaidi wengine nyumba zao ndogo hawazingatii...
Kamati ya utendaji ya TFF yatengua wajumbe 4 kati ya 5 wa Kamati ya uchaguzi wa TFF.
Mwenyekiti amebaki.
=======
Dar es Salaam. Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)...
Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora, Dkt. Thea Ntara amemtaka Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kitete kuwakamata mara moja na kuwafikisha Polisi watumishi wawili wa hospitali hiyo...
[05/07, 07:37] Victor Maleko: Update on Developments in Tanzania
04 Jul 2017
Acacia announces that today Notices of Arbitration were served in Tanzania on behalf of Bulyanhulu Gold Mine Limited...