Kwanini Wapare waliamua kukaa milimani?

Kwanini Wapare waliamua kukaa milimani?

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
22,785
Reaction score
31,298
Hivi ni kwanini hawa watu waliamua kuishi juu kiasi kile?

Yani siku nilienda heee balaa!

Haya: Tulihoe!
 
Tena milimani ni kuzuri sana,hali yake ya hewa tofauti na maeneo ya tambarare,Karibu sana upareni
 
Hivi wote tungekaa tambarare unategemea ingekujae, ipo ardhi ya kutosha, hewa nzuri na rutuba ya kumwaga, tembelea mikoa mingine/nchi nyingine uone kama ni hao tu ndio wanaishi milimani
 
Kuna siku niliwahi kumuuliza babu kwamba hivi babu hii kilimanjaro yote hukuona sehemu ya kujenga? Mpaka ukaja kujenga huku vudee kwenye makazi ya nyani na tumbili, We nilikoswa kofi moja zito sana.

Vudee ni kwetu lakini nikiwa naenda lazima nifikirie sana aisee milima imezidi.
Ila napakubali maparachichi nini fresh.
 
Umenigusa na mimi,
 
Hivi ni kwanini hawa watu waliamua kuishi juu kiasi kile?

Yani siku nilienda heee balaa!

Haya: Tulihoe!
Kwqsababu ni wachoyo sana ndio wakaona wakikaa miliman hawatafatwa na watu...waugweno wapo humu wajitokeze tuwajue
 
Usangi Ugweno amna sehem nzuri kama hzo ase na kumeendelea..alaf wapare wamilimani ni warefu shotii niwale wa same same huko tambarare
 
Back
Top Bottom