Tabia ya kujamba mbele za watu kwenye vyombo vya usafiri ni utovu mkubwa wa nidhamu

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,560
Kuna tabia kwa baadhi yetu hupenda kupunguza hewa chafu (kujamba) mbele za watu aidha muwapo safarini kwenye basi au daladala.

Kwa maksudi kabisa mtu anaamua kujamba kimyakimya (smoothly) au kwa sauti (bursting) bila aibu. Halafu unakuta mjambaji anajikausha kama siyo yeye.

Tabia hiyo huharibu concentration ya watu wanapokuwa wanadeal na jambo fulani. Ukishajamba unasababisha mtu akose amani sana, anaondoa concentration ya anachokifanya mpaka hali ikae sawa dakika kadhaa hivi.

Leo nimepanda mwendokasi kuna mtu alijamba ikawa tabu mpaka nikashuka kituo kilichofuata bila kupenda. Sijui alikula vyakula gani yaani.

Tuthibiti hali hiyo walau unateleza taratibu, yaani unaachia kidogo kidogo.

Asanteni sana.
 
Kuna tabia kwa baadhi yetu hupenda kupunguza hewa chafu (kujamba) mbele za watu aidha muwapo safarini kwenye basi au daladala. Kwa maksudi kabisa mtu anaamua kujamba kimyakimya (smoothly) au kwa sauti (bursting) bila aibu. Halafu unakuta mjambaji anajikausha kama siyo yeye.

Tabia hiyo huharibu concentration ya watu wanapokuwa wanadeal na jambo fulani. Ukishajamba unasababisha mtu akose amani sana, anaondoa concentration ya anachokifanya mpaka hali ikae sawa dakika kadhaa hivi.

Leo nimepanda mwendokasi Kuna mtu alijamba ikawa taabu mpaka nikashuka kituo kilichofuata bila kupenda. Sijui alikula vyakula gani yaani.

Tuthibiti hali hiyo walau unatereza taratibu, yaani unaachia kidogo kidogo!

Asanteni sana.
:):););):p:p:D:D Dah - usituchekeshe hivyo. Kumbe kuna watu wana tabia mbaya - walete huku kwetu Pemba hao.
 
Mtu anaanzaje kujamba

au (swali ili lieleweke) drivers za kujamba ni zipi
 
c7fc181acd7bbdf21c3060b40e860ff8.jpg
0894eb5bcf1aac0d6dbe896b126fa083.jpg
 
Back
Top Bottom