Natumai wanajukwaa mnaendelea na majukumu ya kujitafutia riziki.
Naomba mwenye kufahamu kama naweza kupata hati ya kusafiria katika maonesho ya sabasaba yanayoendelea kwenye viwanja vya maonyesho...
kama sikosei mwanzo vifaa va kilimo kama matrekta yalikua yakiingizwa nchini kwa kodi ndogo ili kuhamasisha SEKTA hii, vile vile kodi ya ROAD LECENCE haikuwepo kwenye matrekta, mashine za kusaga...
Serikali ya Halmashauri ya Wilaya Mvuha mkoani Morogoro, imewakamata raia 8 wa Kichina ambao wamekuwa wakiendeleza Uchimbaji Haramu wa dhahabu wilayani hapo. Raia hao wa Kichina wamekuwa wakisema...
Tulitembea juani na kudeki barabara tukiamini kuwa UKAWA wana Agenda za kumkomboa Mwananchi kumbe haikuwa hivyo!,
Tulitapakaa Nchi nzima Kampeni ya ULIPO TUPO tukiamini kwamba UKAWA itatetea...
Lile sakata la ujauzito sasa limeshuswa kwa wakuu wa wilaya baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuwataka kusimamia utekelezaji wa sheria za nchi zenye lengo la kumlinda mtoto wa kike na mimba...
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema maafisa wa Mamlaka ya Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA) wamewakamata watuhumiwa 4,809 wa mihadarati katika kipindi cha miezi minne.
Waziri...
Habari zenu ndugu zangu,
Leo nina wazo ambalo nimeona niliongee hapa ili liende mbele watanzania wenzangu hivi tujiulizeni je vyakula tunavyokula magengeni, mahotelini au sehemu mbalimbali ni...
Kuna mabadiliko yamefanyika Kwa kuondoa idara ya ujenzi toka Halmashauri ,hivyo kuifanya kuwa mamlaka inayojitegemea.
Wakuu Wa idara ya ujenzi wote wanaondoka toka Halmashauri na kwenda mkoani...
Wananchi waliojichukulia sheria mkononi jana wamewaua kwa kuwachoma moto watu watatu ambao majina yao bado hayajafahamika katika kijiji cha Kitwana kata ya Busoka wilayani Kahama, mkoani Shinyanga...
Yusuph Manji mshitakiwa/mtuhumiwa wa kipekee wa kuhujumu nchi asiyekaa rumande bali Hospitali ! Kwa kweli nimesahau mara ya mwisho kwa mtuhumiwa anayekamatwa nyumbani kwake na kuswekwa Hospitali...
Ndugu zanguni., wana JF nafikiri mpo wazima kbsa..... Bila kupoteza muda leo nilikuwa maeneo ya kituo cha polisi kuikomboa pikipiki yangu iliyoshikiliwa kwa kosa la kusababisha ajali, Lakini...
Wahamiaji 39 kutoka Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wamekamatwa katika maeneo mbalimbali Mkoani Kigoma baada ya kuingia nchini bila ya kuwa na hati za kusafiria.
Kamanda wa Polisi Mkoa...
Yanaitwa Maonesho ya biashara , lakini ukweli ni kwamba pamoja na bidhaa kadhaa kuonyeshwa , Wafanyabiashara tumetumia nafasi hiyo kuuza , tena kwa mauzo ambayo huvunja rekodi .
Sasa kutokana na...
Uenda Victor Wanyama angekua balozi mzuri tu wa nchi iliyo onesha kumthamini kama hii, au uenda mtaa wa viwandani ungenufaika kwa namna moja au nyingine hasa ktk sekta ya michezo na mazingira...
Dar es salaam ndo sehemu pekee hapa Tanzania ambayo kila mtu anatozwa kodi kulingana na utashi wa afisa kodi wa TRA. Hakuna standard ya kutoza kodi ambayo inatoa usawa kwa walipaji.
Si ajabu...
NI usafiri wa kasi, unatumiwa sana na wanaotaka kufika haraka na mara kadhaa, na waendao kwenye miadi, hasa ya wapenzi.
Lakini ndani ya urahisi huo wa kufika na hata kuwahi katika kile ambacho...
Hapa mtaani kuna wazee na vijana ambao ni watumiaji wazuli wa pombe za kienyeji kama komoni, chibuku, gongo, wanzuki n.k
Yaani ukikaa na ukikutana na hawa watu kwa jinsi walivyojiweka na jinsi...