Idara ya ujenzi zaondolewa toka halmashauri

moesy

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2012
Posts
3,555
Reaction score
3,539
Kuna mabadiliko yamefanyika Kwa kuondoa idara ya ujenzi toka Halmashauri ,hivyo kuifanya kuwa mamlaka inayojitegemea.
Wakuu Wa idara ya ujenzi wote wanaondoka toka Halmashauri na kwenda mkoani kuunda mamlaka mpya Kwa kila mkoa.
 
vp kwa wale mnao faham kuhusu hili panaweza kuwa bora au ndio yaleyale
 
Hii nchi kila Rais akiingia anafanya vile anavyojisikia ndio maana tunaenda hatua kumi mbele tunarudi hatua 12 nyuma.

Huyu anapangua kila alichofanya mwenze na kuanzisha yake muda wake wa kuondoka ukifika yale aliyoyaanzisha hata kabla hayajachanganya na kuonesha matokeo atakuaja mwingine nae ataanzisha yake na atayaponda ya huyu kama huyu anavyoyaponda ya wenzake.

Hii nchi ni shamba la bibi.
 
Tupe chanzo cha taarifa. Ni rais au bunge ndo limeamua hivi? Au tunaongelea halmashauri za Uganda?
 
ina maana barabara zote zinaondoka chini ya halmashauri ni kwenda Mkoani/TANROAD. hivyo kodi ya mabango, parking zitaondolewa maana halmashauri hazina umiliki. bado siamini hii taarifa mpaka itoke officially
 
Kuna mabadiliko yamefanyika Kwa kuondoa idara ya ujenzi toka Halmashauri ,hivyo kuifanya kuwa mamlaka inayojitegemea.
Wakuu Wa idara ya ujenzi wote wanaondoka toka Halmashauri na kwenda mkoani kuunda mamlaka mpya Kwa kila mkoa.
Wakati hili likijadiliwa bungeni wewe ulikuwa insta unafuatilia udaku?
 
Hii nchi kila Rais akiingia anafanya vile anavyojisikia ndio maana tunaenda hatua kumi mbele tunarudi hatua 12 nyuma.

Huyu anapangua kila alichofanya mwenze na kuanzisha yake muda wake wa kuondoka ukifika yale aliyoyaanzisha hata kabla hayajachanganya na kuonesha matokeo atakuaja mwingine nae ataanzisha yake na atayaponda ya huyu kama huyu anavyoyaponda ya wenzake.

Hii nchi ni shamba la bibi.
Si umesikia wanampigia debe awe rais wa kudumu
 
ina maana barabara zote zinaondoka chini ya halmashauri ni kwenda Mkoani/TANROAD. hivyo kodi ya mabango, parking zitaondolewa maana halmashauri hazina umiliki. bado siamini hii taarifa mpaka itoke officially
TARURA = TAnzania Rural and Urban Roads Authority

Barabara zilizokuwa chini ya Halmashauri za Wilaya, Miji na Manispaa/Majiji ndizo zinazohusika
 
Msitu mpya nyani walewale

Walikuwa wanawabebesha lawama Madiwani tuone sasa
 
TARURA = TAnzania Rural and Urban Roads Authority

Barabara zilizokuwa chini ya Halmashauri za Wilaya, Miji na Manispaa/Majiji ndizo zinazohusika

kwa nini isiwe ni TANROAD kisha watenganishe Idara moja TRUNK road zile zote zilizokuwa chini ya TANROAD na Idara ya Rural Urban Roads [zote zilizokuwa chini ya halmashauri]. Hii itapunguza ghrama za uendeshaji na huitaji tena Mkurugenzi mtendaji, wakuu wa fedha, regional offices ni kupanua tu idadi ya watumishi ambao watatoka halmashauri ama watabakia huko huko halmashauri lakini wanareport TANROAD
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Imeanzishwa Agency mpya kwa ajili ya kushughulikia barabara la Halmashauri na Vijijini inaitwa TARURA ili kuongeza ufanisi
 
kwa nini isiwe ni TANROAD kisha watenganishe Idara moja TRUNK road zile zote zilizokuwa chini ya TANROAD na Idara ya Rural Urban Roads [zote zilizokuwa chini ya halmashauri]. Hii itapunguza ghrama za uendeshaji na huitaji tena Mkurugenzi mtendaji, wakuu wa fedha, regional offices ni kupanua tu idadi ya watumishi ambao watatoka halmashauri ama watabakia huko huko halmashauri lakini wanareport TANROAD
Sheria zilizounda zipo tofauti nadhani nalo limefanyiwa fasta fasta
 
Back
Top Bottom