Kuna shida gani na kijiji hiki

Kuna shida gani na kijiji hiki

instanbul

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Posts
12,614
Reaction score
19,840
bc994b2697914c0d793cd8ff2021e73d.jpg
Mimi huwa napita hapa karibia kila Mara kutoka bk na watu huwa wanacheka has a wanawake naombeni mnijuze pana shida gani hapa
 
hata UKIMWI hapa nchini kwa mara ya kwanza kuingia uliingilia huko huko
 
bc994b2697914c0d793cd8ff2021e73d.jpg
Mimi huwa napita hapa karibia kila Mara kutoka bk na watu huwa wanacheka has a wanawake naombeni mnijuze pana shida gani hapa
Waulize hao wanaocheka Sasa unatuuliza sisi umeambiwa na huku kuna wanawake wanacheka?

Haya wanawake wanaocheka jamaa anasubiri majibu yenu
 
Back
Top Bottom