Tuliodeki barabara tukutane hapa!

Tuliodeki barabara tukutane hapa!

Gangongine

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
3,854
Reaction score
1,776
Tulitembea juani na kudeki barabara tukiamini kuwa UKAWA wana Agenda za kumkomboa Mwananchi kumbe haikuwa hivyo!,

Tulitapakaa Nchi nzima Kampeni ya ULIPO TUPO tukiamini kwamba UKAWA itatetea wanyonge kumbe haikuwa hivyo!

Tulitengeneza mafuriko feki kwa kutumia utaalam wa IT tukiamini kwamba UKAWA itapigania Rasilimali zetu kumbe haikuwa hivyo!

Tuliandamana na kuimba tukiamini kwamba UKAWA itapiga vita Rushwa kumbe haikuwa hivyo!

Baada ya Mgombea Mzalendo wa CCM kushika Dola na kuanza kupigania Rasilimali za Umma, UKAWA tunampinga! Unafiki gani huu!

Mzalendo huyu anapigania Maadili ya Kitanzania kwa kutotetea wenye mimba kurudi shule, UKAWA tunampinga! Unafiki gani huu!

Bei ya Mafuta inashuka tunaanza kudai eti Rais Kashusha bei! Kumbe tunataka bei zipande? Unafiki gani huu!

Mzalendo huyu anapambana na Vyeti Feki na Watumishi hewa, UKAWA tunampinga! Unafiki gani huu!

Inasikitisha UKAWA tunakuwa watetezi wa wala rushwa, wenye vyeti feki, wanafunzi wenye mimba, waiba Rasilimali zetu nk. Inaonesha kama tungepewa Dola mambo yangekuwa HOLELAAAAAAA! Asante Mungu kwa kutuepusha kwenda IKULU maana tungeharibu!

Ajabu siwaoni Viongozi wetu wakiigiza tena kupanda daladala za Gongolamboto, kuonja uji wa Mama Ntilie Buguruni nk. Vipi tenaaaaa?
 
Huwa sijutii mpaka keshokutwa kudeki barabra, maana naona nilikuwa sahihi kabisa!

Nilishaapa kumpa kura mtu aliyepitia shida nyingi sana kwasababu siku mkimwambia mna shida hawezi kuamini mpaka aone kama mnashida alizopitia yeye!
 
Tulitembea juani na kudeki barabara tukiamini kuwa UKAWA wana Agenda za kumkomboa Mwananchi kumbe haikuwa hivyo!,

Tulitapakaa Nchi nzima Kampeni ya ULIPO TUPO tukiamini kwamba UKAWA itatetea wanyonge kumbe haikuwa hivyo!

Tulitengeneza mafuriko feki kwa kutumia utaalam wa IT tukiamini kwamba UKAWA itapigania Rasilimali zetu kumbe haikuwa hivyo!

Tuliandamana na kuimba tukiamini kwamba UKAWA itapiga vita Rushwa kumbe haikuwa hivyo!

Baada ya Mgombea Mzalendo wa CCM kushika Dola na kuanza kupigania Rasilimali za Umma, UKAWA tunampinga! Unafiki gani huu!

Mzalendo huyu anapigania Maadili ya Kitanzania kwa kutotetea wenye mimba kurudi shule, UKAWA tunampinga! Unafiki gani huu!

Bei ya Mafuta inashuka tunaanza kudai eti Rais Kashusha bei! Kumbe tunataka bei zipande? Unafiki gani huu!

Mzalendo huyu anapambana na Vyeti Feki na Watumishi hewa, UKAWA tunampinga! Unafiki gani huu!

Inasikitisha UKAWA tunakuwa watetezi wa wala rushwa, wenye vyeti feki, wanafunzi wenye mimba, waiba Rasilimali zetu nk. Inaonesha kama tungepewa Dola mambo yangekuwa HOLELAAAAAAA! Asante Mungu kwa kutuepusha kwenda IKULU maana tungeharibu!

Ajabu siwaoni Viongozi wetu wakiigiza tena kupanda daladala za Gongolamboto, kuonja uji wa Mama Ntilie Buguruni nk. Vipi tenaaaaa?
Tuliopiga push up twasoma namba!
 
sijutii kuwa mpenda mabadiliko ,sikubahatika kudeki barabara ila bado nasapoti ilani ya UKAWA..........
2020 msinipangie.......
 
Ushapata kaajira kako ka ubunge wa viti maalumu una shida gani sasa. Mind you- time will tell
 
2b67501a07933bbc35299de37c74146d.jpg
 
Hawana hoja siku hizi wamebaki kufanya fujo, kuropoka na kukashfu watu ili wakamatwe waonekane wanaonewa
 
Mkuu kachukue 7000 yako pale lumumba.... Fanya fasta
Unafiki uloonesha nakujifanya wewe ni mpinzani unaonesha unaakili kama za boss wako bashite.....
Yani unachekesha kweli.
Nyie ccm nani kawaloga. Tafuta mbinu nyingine mkuu muwe mnamuuliza jk aliweza vipi..! kwa styl iyo tunawaona wajinga tu.bila shaka washauri wenu wakuu ni bashite na lemutuz
 

Mkuu mleta mada, tumebanwa kila kona.... hata tukikohoa tu Mtu mdogo kama MKUU WA WILAYA anaamuru tukamatwe tuwekwe ndani.

Hatuna pa kutokea.......... Tumefungwa mikono na kwa sasa SIZONJE TU NDO ANATAMBA.

Ku-surrender kwa muda huku tukijipanga sio dhambi.

Kwa mnyama DUBU inaitwa HIBERNATION....... Huwa anachukua leave nafikiri ya zaidi ya 3 month.
 
mtoa mada please angalia upande wa pili wa coin,then toa uzi wako sio kuangalia upande mmoja tu,think out of box.ni sawa na kuzizuia timu za mpira kufanya mazoezi,kusajili wachezaji wapya,hakuna mechi za kirafiki,halafu unaziambia hizi timu zikacheze ligi kuu!!!
 
Back
Top Bottom