Kwani Huyu Aliisaidia Nini Tanzania?

Kwani Huyu Aliisaidia Nini Tanzania?

666 chata

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
1,710
Reaction score
4,046
Uenda Victor Wanyama angekua balozi mzuri tu wa nchi iliyo onesha kumthamini kama hii, au uenda mtaa wa viwandani ungenufaika kwa namna moja au nyingine hasa ktk sekta ya michezo na mazingira bora, maana jamaa nae si angeona aibu kwa namna moja au nyingine? na huko mbele ingekua kiasi tu cha kumpiga hata mizinga, kwamba "mzee, hii victor wanyama street haina lami tuongezee kiasi kadhaa bas tufanye maarifa kadhaa", au uenda yeye binafsi angefanya jambo moja zuri tu kulipa fadhila, hatujui.

Ila kiubinadamu tu kitendo cha kufutwa kwa jina lake ktk mtaa ambao mwanzo uliitwa jina lake hata bila yeye kuomba, basi najua kilimpa mfadhaiko hata kama hakusema, nae si ana hisia za kibinadamu.

Ila shida ilikua wapi sasa? Mbona mitaa ni mingi tu na mingine ina majina yasiokua na maana kabisa.

Je huyu sokwe nae alifanya maajabu gani pale Tandale?

IMG_20170705_102727.jpg
 
Inahitaji taarifa za awali kuelewa ulichoandika...vinginevyo Giza tupu..
 
Uenda Victor Wanyama angekua balozi mzuri tu wa nchi iliyo onesha kumthamini kama hii, au uenda mtaa wa viwandani ungenufaika kwa namna moja au nyingine hasa ktk sekta ya michezo na mazingira bora, maana jamaa nae si angeona aibu kwa namna moja au nyingine? na huko mbele ingekua kiasi tu cha kumpiga hata mizinga, kwamba "mzee, hii victor wanyama street haina lami tuongezee kiasi kadhaa bas tufanye maarifa kadhaa", au uenda yeye binafsi angefanya jambo moja zuri tu kulipa fadhila, hatujui.

Ila kiubinadamu tu kitendo cha kufutwa kwa jina lake ktk mtaa ambao mwanzo uliitwa jina lake hata bila yeye kuomba, basi najua kilimpa mfadhaiko hata kama hakusema, nae si ana hisia za kibinadamu.

Ila shida ilikua wapi sasa? Mbona mitaa ni mingi tu na mingine ina majina yasiokua na maana kabisa.

Je huyu sokwe nae alifanya maajabu gani pale Tandale?

View attachment 536162
Yaani imekuwa bora wapewe masokwe wa porini kuliko human being! Ama kweli tz ya vi.wonder.
 
Chuki za kisiaza za viongozi wa Kiafrika zinasababisha nchi zetu zibaki nyuma
 
mhh hakihusiani,haupo saw fuatilia ama lete kwanz details za mtaa na jina hilo....
 
Makonda a.k.a. PM wa Tanzania at work.
 
Tatizo kubwa ni kutofuata Taratibu za kisheria kubadilisha jina la mtaa huo.
 
Kwaio meya na wenzie walikua wajinga kiasi icho? Hawakufuata sheria? Pili nani aliwapa mamlaka hayo? Yote haya hawakuyaona au kuya foresee?
 
Makonda a.k.a. PM wa Tanzania at work.
Usimsingizie Makonda bhana hahahaahhaah labda useme ofisi ya mkuu wa mkoa mkuu hahahaha siku hizi alaf hakufai mzee majina hayaa bhana wee
 
Mtoa mada utakua ni wakuja.Hayo majina ni ya malegends wa mjini na hiyo mitaa.So vumilia.
 
Kwaio meya na wenzie walikua wajinga kiasi icho? Hawakufuata sheria? Pili nani aliwapa mamlaka hayo? Yote haya hawakuyaona au kuya foresee?
Hiyo ni tafasiri yako mkuu sio yangu.
 
Back
Top Bottom