unlucky
Senior Member
- Aug 9, 2011
- 199
- 56
Habari zenu ndugu zangu,
Leo nina wazo ambalo nimeona niliongee hapa ili liende mbele watanzania wenzangu hivi tujiulizeni je vyakula tunavyokula magengeni, mahotelini au sehemu mbalimbali ni safe kwetu?
Sasa mimi nataka niongelee hapa na kuwaambia kwamba mngeonaje serikali ingefuatilia mambo ya vyakula wanaopika hizo sehemu mbalimbali wangechunguza usafi na vitu vinavyotumia wakati wa kupika watu waafya wangeingia kwenye mahoteli magenge kuangalia jinsi gani na hali ilivyo wanapika.
Tukiangalia nchi za wenzetu wanakaguliwa kwenye mambo ya vyakula sisi tunakula tu hatujui kinachoendelea kwa sababu siku hizi vitu expired pia zipo ndo maana tunakaa tunaumwa maradhi mbalimbali.
Je nyie wenzangu mnaonaje?