Hivi Serikali haijui kama kuna uhaba watumishi hawa wa afya mpaka iombwe kibali cha dharula?

mtafiti05

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
962
1,000
Toka upungufu wa watumishi ktk kada mbalimbali kuongezeka baada ya ktolewa kwa report 1 UHAKIKI vyeti fake, je najiulza hv serikali inafkr nn kuzba pengo la watumishi hasa ktk kada nyeti kama afya?

Miez 2 sasa imepita toka waondolewe vyeti fake je nafasi zao znazibwa na hewa? Kama zahanati znabakiwa na medical atendat na serikali inajua haya na imekaa kimya maana yake nini?

Serikali inaona sifa kuombwa kibali cha dharula kuajiri hawa wataalamu? Kiukweli wahuska ifke mahali muone aibu na muweke pembeni siasa ktk mambo ya maisha ya watu,

Note, mmekalia kujfanya mnahakik kila muda, tunataka Huduma na sio siasa zenu za kikikikikiki! Wahusika muache matukio badala yake mtoe Huduma!
 

mtafiti05

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
962
1,000
H A W A P A N G I W I Cha Kufanya
Wapuuzi tu, hakna anaewapangia Bali uhai wa watu ni zaidi ya makinikia yao hayo, Serikali ya wanyonge hata haijali wanyonge! Maskn ndo wanaumia nasio wao, wenyewe wakilala wamechemka tu kesho yake India kwa matibabu je hawa maskn wanafanyaje? Hao hao ndo wanawadanganya kuwatatulia shda zao wakati wa kampeni! Wakiwapa kura tu mbele inakua kila mmoja abebe mzgo wake au apambane na hali yake!

Mambo mengne sio maombi lakn wanataka waombwe, inafka muda wanakera sasa!
 

mtafiti05

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
962
1,000
Eti hadi Huduma ya afya inafanyiwa siasa jaman hii nchi ya MAKINIKIA! Lakn police wakuthibt wapinzani na waandamanaji wapo wa ktosha lakn kibiti ni mwsho wa reli!
 

jiwe angavu

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
2,642
2,000
Msiwaze huu ndan mwezi hizo nafasi zitazibwa..kuweni wavumilivu kidogo..tukisaka pesa mana tumefuria kimtindo.
 

mtafiti05

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
962
1,000
Kila mtu apambane na hali yake
Wananchi wanapambana na hali yao mkuu lakn Afya ni muhimu zaidi ili wapambane vzr na hali zao, hospital hazna wahudumu na hakna dawa je watapambana vp na hali zao?

Medical Atendant atazalisha? Huyo mama akifa au Mtoto akfa hasara ya Nani? Mtu hana ujuz anahudumia Zahanati kila idara, Waziri wa UHAKIKI hata hajui hayo? Au yy ni kuhakiki tu bila kujua wapi kuna mapungufu na mahtaji muhimu?

Watu wakisema wanakua wachochezi, sio SIRI wanauzi sema muhimu ktumia busara maana waweza watukana MATUSI yote na bado usilizke!
 

mtafiti05

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
962
1,000
Msiwaze huu ndan mwezi hizo nafasi zitazibwa..kuweni wavumilivu kidogo..tukisaka pesa mana tumefuria kimtindo.
Bajet ilopta hamjatekeleza hafu bado mmefulia mnapeleka wapi hela mnazookoa? Watumishi hewa na vyeti fake mmeokoa hela bado mnalialia hamna hela au ndo mmenunua Hizo panga boy zenu? Mtu wa nyamazugo Sengerema anafaidika vp hizo pangaboy zenu huku hana hata panaldo Zahanati?
 

mtafiti05

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
962
1,000
Hafu mnakera sana eti wiki hii ni maandamano ya kumpongeza mh. Kafanya kipi zaidi ya majukumu yake tuliyompgia kura zetu atuwakilishe? Hela za Acacia zenyewe hatjalipwa hafu mnapongeza ndo nn sasa!

Anayoyafanya mazuri ni Malipo ya kura zetu zile M8 na sio kingne, kupongezwa sio mpaka maandamano hata kimoyo moyo inatosha, sio wanaoandamana wote nafsi zao zmefurahi bali wengi wao wanalinda vibarua vyao tu maana wakionekana wapo kinyume wataungana na Halima Mdee na kukosa kazi Rasmi!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom