Wapo wapi Mwanahamisi Kajembe, Constantine Mihambo na Fadhili Haule wa CAPITAL Redio?

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,311
6,605
Poleni na kazi wadau. Swali hapo juu ni lenu site. Mnakumbuka miaka 5 au 6 iliyopita, watangazaji hawa walifunika sana Capital Redio ya jijini Dar es salaam. Mwenge kujua walipo atuambie. Kwa ujumla nimewamiss sana. Mwanahamisi na Fadhili walimudu vipindi vya asubuhi huku Mihambo akimudu kile cha mahaba cha usiku.
 
Back
Top Bottom